tiGo tigo sucks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tiGo tigo sucks

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by laun, Dec 28, 2011.

 1. l

  laun Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu mtandao wamezidi,unaomba huduma e.g sms bundle ,wanakata hela. Ukianza kutumia tena wanakata each sms kwa normal rates,f***k them.
  Namba ya huduma kwa wateja "toka kwenye menu yao ya service" nikipiga naambiwa niiangalie vizuri na nipige tena,huu ni upuuzi
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu kwa sasa nipo airtel kwan hawa walishajichokea na leo nimeweka bundle la internet halafu imegoma kuunga net yaani tabu tupu...
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  li line lao nimelitumbukiza kwenye handset ya mchina kwa ajili ya kupokelea simu... can't even be bothered to top it up!! the network is pants!! halafu jana wamefanya publicity stunt yao ya watu kushinda 4'em kwenye shindano.... don't bother!!
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hamia chadema,sorry airtel
   
 5. l

  laun Senior Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  f****k ***iiiigo, wa*****nzi sana hawa jamaaaaaa,namwambia ma watoto atupe line ,nihamie kwenye baaasi kubwaaa,hiki kimwendo wa kobe naona kimepasuka tairi zoote ,wezi tu na bahat nasibu zao
   
Loading...