Dah, haya makampuni haya sjui kwa nini hawana huduma stable ambazo ni rafiki kwa mtumiaji kwa kweli.
Huyu akiwa na kifurushi kizuri, speed inakuwa hovyo, akiwa na speed nzuri unakuta kifurushi hovyo.
Unakaa siku 2 unashangaa wamebadili badili tena kwa kukurupuka tu bila ya kuwapa taarifa wateja wao.
Hata sjui kwa nini inakuwa hivi kwa kweli. Laiti kama tungepata mbadala wa hili suala hili ingekuwa afadhali mkuu.
Vpn nazo sjui namna gani. Dah, bongo aiseee, acha tu mkuu.