Tigo pesa/m pesa /airtel money

Tigo pesa/m pesa /airtel money

mwana wa mama

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
146
Reaction score
40
Habari zenu wadau?Ninaomba kufahamu mambo ya msingi ya kuwanayo na ya kufanya unapotaka kufanya hii biashara ya Mpesa au Tgo pesa.Na mtaji wa kawaida wa kuanzia ni kama bei gani?Pia unaweza kununua line mkoa mwingine ukaenda kuitumia mkoa mwingine?Naomba majibu kwa lugha ya uastaarabu mtu kama hujui nyamaza ujifunze kwa wanaojua.Ahsanteni!
 
Ngoja niwaite wataalam wa hyo mambo waje!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Habari zenu wadau?Ninaomba kufahamu mambo ya msingi ya kuwanayo na ya kufanya unapotaka kufanya hii biashara ya Mpesa au Tgo pesa.Na mtaji wa kawaida wa kuanzia ni kama bei gani?Pia unaweza kununua line mkoa mwingine ukaenda kuitumia mkoa mwingine?Naomba majibu kwa lugha ya uastaarabu mtu kama hujui nyamaza ujifunze kwa wanaojua.Ahsanteni!

sharti lazima uwe mfanyabiashara nikimaanisha uwe na leseni tin na kitambulisho, m-pesa na eatel money unaweza amisha mikoa ila tgo hawaruhusu, kuhusu bei za line inategemea uko mkoa gani, milioni tosha kabisa
 
Back
Top Bottom