Tigo nomaaaaa

dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...


Dah ulivosema Tigo Nomaaaaaa basi mi mawazo yangu yakaenda kuleeeeee.
Nkajuwa umeonjeshwa labda.
 
watu humu wachafu....eti wamesikia tigo wakashtuka wakaingia humu kwa kasiiii...kumbe..:happy:
 
wameiga kwa zantel, tena wenzao wanatoa sms 300 + huduma nyingine inaitwa sijui rbt yaani ni cheap kinoma kwa jero unaongea kama dk.45 hivi achilia mbali zile dk. 15 walizokupa

ni kweli epiqnation ya zantel ni noma zaidi, 500/= tu dkk 15 zntl to zntl, 50mms, sms 300, 50mb internet na.......!! "applc yao ni *149*09# then choose 1 for 250/= and 2 for 500 halafu utafuata maelekezo!
 
ni kweli epiqnation ya zantel ni noma zaidi, 500/= tu dkk 15 zntl to zntl, 50mms, sms 300, 50mb internet na.......!! "applc yao ni *149*09# then choose 1 for 250/= and 2 for 500 halafu utafuata maelekezo!

Tigo wezi tu nimeongea dk 2 tu eti tayari dk 15 zimeisha
 
hawa washenzi kama hawawezi biashara wawapishe wenzao jana kusikia nkajiunga fasta cha ajabu mpaka jioni nimekatwa salio lote nlokua nalo leo sikukoma nkajiunga na kifurushi cha wiki kwa 2500 nkakatwa salio kimya eti tafadhali subiri ombi lako linashughulikiwa mpaka sasa bado nkajiunga hicho kipromosheni chao wakakata salio na kuniunganisha nimejaribu kupiga huduma kwa wateja hawapatikani!!!!!!!na kila mara wananifanya shamba la bibi yao mafala kweli!!!!!!!!!!!!
 
wapuuz sana dumisha. km watumia airtel tuma neno "internet" kwenda no.15444 utapata bunddle ya mwez kwa sh.2500 ndo me hutumia hyo
 
hiyo offer ya tigo ni ya uongo hawakupi dk15 za ukweli, jana nimejiunga nimeongea dk hata 5 hazikufika wakanikata hela zangu... wizi mtupu!!
 
umeona eeh,mf.me nina line 3 bt cna mtu mwenye no. ya zantel hta 1...

mm menyewe ninayo laini ya zantel but huwa naitumia kuunganisha net tu kwa modem yangu, but sikumbuki ni lini nimempigia mtu kwa laini hii ya zantel!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…