Tigo ni wezi

Ole wako ujiunge na huduma za kutumiwa meseji za kukunotify kitu flani zile za pushmobile imekula kwako.! Wanakufanya mtaji hata uombe kujitoa hawakutoi wanakata 150/sms, kila siku...huu si ni wizi na utapeli huu,

Kwenye website ya TCRA kuna fomu la malalamiko, inabidi uijaze hiyo fomu then copy moja uwapatie TIGO na copy nyingine TCRA.
Wengi wamechangia kuonesha ni maeneo gani TiGo wanaibia watumiaji wa huduma zao, binafsi pia nina nia ya kuwashtaki. Ninakusanya ushahidi wa kutosha ili nijenge hoja yenye nguvu nitakapoanza mvutano nao mpaka wata- surrender.
Sehemu zifuatazo zinawizi wa waziwazi;
I) Matangazo yao ni misleading; kiasi wanachodai wanatoza kwa sekunde sio sahihi hata kidogo. Tafuta stopwatch afu fanya timing ya calls zako utagundua hilo.
II) Kwenye huduma za internet bundles, kwanini ile bando ina expire na kufuatwa hata kama hujatumia internet? Kwa nini balance isiwe carried forward? Zile data unazonunua ni cash equivalent so huwezi kujiamulia ku-delete pesa ya mtu.
III) Ule mkopo wanaotoa huwa huchukua muda mfupi mno kuisha compared na kama utanunua airtime kwa njia ya kawaida.
III) Ukipiga simu call centre wanakukata sh. 100 kama sijakosea. Lakini simu yenyewe mpaka ije ipokelewe ni shughuli, so is not worth to pay them your buck while the customer service is poor.
III) Jambo lingine ni disturbance itokanayo na kutumiwa tumiwa message zao za kukuhamasisha ushiriki promotion zao. Hizi msg zimekuwa zikiwachangana sana watu wasio na uelewa wa bahati nasibu na hivyo kujikuta wakipoteza pesa nyingi bila kushinda.

Huku ndio kujenga hoja na kusema kinachokusibu na kukukera.
Sasa hapo mwenzetu ukisha maliza research yako ndio utajua je ni kweli au ni uongo.

Tigo ni wezi kweli.Mbaya zaidi makabwela wengi wanapenda mtandao huu wa Tigo eti ndiyo ukabwela wenyewe. Tigo wanazidi kuwadidimiza zaidi kwenye lindi la umasikini. Achana nao ka mimi. Amia airtel!

Mimi natumia Tigo. Sijabahatika kuona huo ujanja ujanja.
Bt from now wacha nifwatilie. Lisemwalo lipo

sasa na hii nini sijui huduma mpya ya voice-sms kama sikosei
jana nilipigiwa na namba 0901901901 asee nilijikuta natukana,tena muda wa usiku (hivi hii ni tigo?)
km ni wao wana akili hawa?
pili,wanatuma sms zao za kijinga usiku wa manane?yani mtu unakurupuka afu unakuta ujinga wao

Wakuu,natujadili wizi nwa Tigo,mie sio kama nawaharibia Biashara yao,ila Dah, hawa Jamaa ni Kiboko yani,Full Waiz

Umeonaeeee! yaani weekend nahama rasmi kupiga simu imekua ghali na huduma zao zote gharama kubwa mno!
Nimekua nao zaidi ya miaka 10 ila sasa uzalendo unanishinda!

kweli wateja tupo wengi, mimi binafsi ni mteja wa miaka mingi toka mobitel mpaka leo tigo lakini bado sijayaona hayo mnayoyaongea
kuna exagerration kwamba ati wanakukata sh6 mpaka sh 4 kwa sekunde, hili nafikiri ni uongo wa dhahiri, maana sie twajua gharama ni ths 1.33 kwa sekunde katika dakika ya kwanza(vat inclusive) na tsh 0.36 kwa sekunde baada ya dakika ya kwanza. wengi wetu ni wepesi kulalamika lakini twajua tigo ndio mtandao nafuu hilo halina ubishi
kuna mtu amedai anataka msaada wa kujitoa kwenye huduma ya kukopa, hapa sasa ndio nimejua kweli wengine tuna ufahamu mdogo. huduma ya kukopa ni ya hiyari, huwezi kukatwa wakati hujakopa, utajitoaje wakati hujakopa?au unataka ukope usilipe? lingine, ifahamike kulingana na namna tunavyorecharge cm zetu nimegundua kuna classes za kukopa, kuna wanaokopeshwa 400 wanalipa, 440, wengine 800 wanalipa 880 na sie wengine 1200 twalipa 1320, sasa mimi ni mmojawapo wa wakopaji wazuri sana ninapobanwa na hata leo nimekopa, na nimetumia 1200 yangu kwa kadiri ilivyotakiwa nimepiga simu kwa kiasi kilekile kama ningeweka vocha ya kawaida

sina hakika na madai ya watu wengine, ila mimi binafsi ninaweza kusema labda ni maadui wa kibiashara wa tigo wanaojaribu kuipaka matope na ndio maana wengine wanalalama wameibiwa lakini wakiambiwa wameibiwaje hawawezi kujustfy

Mkuu we ni wazi sio tu unatumia Tigo ili kuishi bali hata kufikiri unatumia "Tigo"...khaaa!

Kwa upande wangu najua Tigo ni wezi tangu siku nyingi nimeacha kuitumia line yangu..cha kwanza hawatozi kutokana na matangazo yao eg nusu shillingi wakati in actual facts wanatoza sh 6 mpaka 4 kwa sekunde. Infact Tigo ni mtandao unaotoza gharama za juu kuliko mitandao yote ya mawasiliano Tanzania kwa sasa.. wezi tu!

acha uongo

kweli wateja tupo wengi, mimi binafsi ni mteja wa miaka mingi toka mobitel mpaka leo tigo lakini bado sijayaona hayo mnayoyaongea

kuna exagerration kwamba ati wanakukata sh6 mpaka sh 4 kwa sekunde, hili nafikiri ni uongo wa dhahiri, maana sie twajua gharama ni ths 1.33 kwa sekunde katika dakika ya kwanza(vat inclusive) na tsh 0.36 kwa sekunde baada ya dakika ya kwanza. wengi wetu ni wepesi kulalamika lakini twajua tigo ndio mtandao nafuu hilo halina ubishi

kuna mtu amedai anataka msaada wa kujitoa kwenye huduma ya kukopa, hapa sasa ndio nimejua kweli wengine tuna ufahamu mdogo. huduma ya kukopa ni ya hiyari, huwezi kukatwa wakati hujakopa, utajitoaje wakati hujakopa?au unataka ukope usilipe? lingine, ifahamike kulingana na namna tunavyorecharge cm zetu nimegundua kuna classes za kukopa, kuna wanaokopeshwa 400 wanalipa, 440, wengine 800 wanalipa 880 na sie wengine 1200 twalipa 1320, sasa mimi ni mmojawapo wa wakopaji wazuri sana ninapobanwa na hata leo nimekopa, na nimetumia 1200 yangu kwa kadiri ilivyotakiwa nimepiga simu kwa kiasi kilekile kama ningeweka vocha ya kawaida

sina hakika na madai ya watu wengine, ila mimi binafsi ninaweza kusema labda ni maadui wa kibiashara wa tigo wanaojaribu kuipaka matope na ndio maana wengine wanalalama wameibiwa lakini wakiambiwa wameibiwaje hawawezi kujustfy

Bila shaka u mfanyakazi wa TIGo na hivyo unajaribu kuweka sawa mambo. Lakini ni ukweli unaothibitika kwamba ukikopa TIGO huwezi kutumia muda sawa na pale unapo recharge kwa kutumia voucher za kawaida.

Tigo wezi rhaakharr unamwamishia mtu salio unakatwa,ukipiga customer care unakatwa kasheshe wanakuambia weka salio kwa tigo pesa upate mara mbili mnanipa dakika WEZI MAFISADI NI tiGO .

Mh! Labda na mm washawahi kuniibia!...lakn nikiweka elfu10 mbona inakaa sana, nashangaa natwanga weee nikichki salio wamekata200!!! VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA!

mie namalizia kugawa namba yangu ya hamia niachane na mtandao wa watoto wa shule ofa gani za muda wa kulala ndo maana ghana wamefulia

Back
Top Bottom