piga simu salio likiwa dogo na ongea mpaka liishe utaona kimbembe chake, au subiri huna salio kabisa jifanye unatuma sms uone kimbembe chake au pokea sms zao kwa haraka kata simu kabla ya mlio uone kimbembe chake wanaboa niliwaambiaga kule fb wanitoelee hizo sms hawakusikia nikahama tigohayo madai yenu mbona kwenye simu yangu siyaoni?