Tigo mnakubali kuwa ninyi ni wezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo mnakubali kuwa ninyi ni wezi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkulima wa Kuku, Jan 6, 2012.

 1. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Juzi nilinunua airtime ya tigo kabla sijatumia nikaambiwa huna fedha. kabla ya hapo nilikuwa nimejiandikisha kwenye huduma ya sms 10 kisha unatuma siku nzima ambayo was just a disappointment. Sms zenyewe zilinirudia baada ya kula hela yangu yote. Jana nika top up 5000/= nikaregister tena kwenye tigo mia nikatuma sms kadhaa. asubuhi ya leo nataka kupiga simu nikaambiwa salio lako ni chini ya shs.30. Kama huu si utapeli ni nini? TCRA wapo wanafuatilia wizi huu wa mchana kweupe au wameshafungiwa bahasha na kunyamazishwa? Walichofanya tigo hata customer care unalipia na hawana email kwa ajili ya malalamiko ya wateja. Message hii ni kutuambia mmezidi kutupa fedha hatuwahitaji tena hasa wewe mkulima wa kuku.
  Na mimi nakubaliana nao...iwapo sitasikia toka kwao within 24hrs wamenipoteza na vijisenti vyangu.
   
Loading...