nimezalilika sana hela ndogo ila ili u acess crdb mobile lazima uwe na walau sh 100 na una hela kweny ac hata mil 10 ila bila sh 100 huwez pata access na nilitaka kujirushia kwenye mtandao wa sim nitoe naul mana hapa nilipo ni mkoaPole mkuu.
Pole sana.nimezalilika sana hela ndogo ila ili u acess crdb mobile lazima uwe na walau sh 100 na una hela kweny ac hata mil 10 ila bila sh 100 huwez pata access na nilitaka kujirushia kwenye mtandao wa sim nitoe naul mana hapa nilipo ni mkoa
The same na Vodacom wako hivyo,halafu ukifatilia wanakwambia ulijiunga na michezo gani gani sijui ambayo unalipia kila mwezi kitu ambacho wewe hukijui...majizi sananimelala na sh200 kwa ajil ya ku access bankmobile cha ajab sijaweka setting za internet za tigo wala sijabip wala kupokea.naamka hakuna hata shilingi? kweli? sasa imekua dasturi tigo usilaze vocha ikiwa hejaungwa wanailamba.haya sina pa kuwashtak ila kwa njia moj au nyingine mungu atanilipia
Download app ya sim banking uondokane na kero km izo ni mb zko tu na kucheki salio ni burenimezalilika sana hela ndogo ila ili u acess crdb mobile lazima uwe na walau sh 100 na una hela kweny ac hata mil 10 ila bila sh 100 huwez pata access na nilitaka kujirushia kwenye mtandao wa sim nitoe naul mana hapa nilipo ni mkoa
Mitandao ya simu ni matapeli wakubwa. Mimi nina router nilikua na salio baadae sikulikuta.. nilipotoa line nikaangalia nikakuta sms nimejiunga na kitu kinaitwa airtel games. Nikawapigia simu wakaniambia nimejiunga mwenyewe nikalumbana nao wakaiondoa na nikaona msg nimejiondoa.. nikakaa baada ya kama week nikacheki salio nikakuta limekatwa tena. Niliporudisha line kusoma sms nikakuta siku ile ile niliyoondolewa baada ya masaa kadhaa nilitumiwa ujumbe karibu umejiunga upya kwenye airtel games.