Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
Asubuhi ya leo nimenunua kifurushi cha 1500, dakika 30 na mb 750. Sijatumia sana, and now naingia kuangalia salio zimebaki mb 300 na ushee.
Huwa natabia ya kuzima data ninapoingia social media, usiku vile vile nazima, but pamoja na yote haya na bado zinaliwa fasta. Sawa, no problem!!š”š”š”
Mungu anawaona, kwa staili hii hamutafika popote.
Kuweni makini nao sana, hawaaminiki hawa watu,