Tigo mnatia Kichefu chefu....

Tigo mnatia Kichefu chefu....

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,152
Yaani Nimepoteza appetite na mtandao wenu kila mara unakata network inapotea 4g sijapata niko hapa hapa Dar juzi juzi mmepotea hewani almost siku nzima mmerudi hata kuturudishia bundles zetu... The last 2days nimeshinda hapo mjini kati No 4g Dar city center???
 
Hao jamaa nilishawahama kitambo kwa sababu ya mambo yao ya kipuuzi.
Kipindi nasoma nilijifunza kuwa miongoni mwa sifa za mtandao bora ni lazima uwe na reliability. Fuckn Tigo haina sifa hiyo hivyo niliamua kuutia kapuni baada ya kuvumilia upumbavu wao kwa muda mrefu tu.Hapo subiri kuombwa msamaha kwa sms 5, mb1 na dakika 5 za tigo-tigo airtime mkuu.
Asante kwa ujio wa halotel sasa headache kwisha. Napata kile nahitaji muda wote,bundles nzuri,speed ya internet nayo iko poa sana ingawa ni 3g tu ila inakidhi viwango.Ushauri wangu hamia halotel leo.
 
Nchi masikini Duniani tunarudishwa nyuma na mambo mengi sana.

Kwa Tanzania Tigo ni moja mtandao unao turudisha nyuma. Mtu umetoka jasho weeee kutafuta pesa ya bando, lakini bado kutumia ilo bando unatolewa jasho na tigo!!
 
4G ya Tigo ndio 2G ya Halotel.


Ninaishi mita 63.7 toka ulipo mnara wa tigo lakini siwezi ku download a 200 kb file

Halotel wapo mita 1200 (1.2 Kms) toka ninapoishi lakini naweza kushusha lots of huge file in seconds

Kuna tofauti kubwa mno naiona kati ya hayo makampuni mawili
 
Yaani Nimepoteza appetite na mtandao wenu kila mara unakata network inapotea 4g sijapata niko hapa hapa Dar juzi juzi mmepotea hewani almost siku nzima mmerudi hata kuturudishia bundles zetu... The last 2days nimeshinda hapo mjini kati No 4g Dar city center???
dah pole sana bado unatumiaga tigo zama hizi.
 
Back
Top Bottom