Tigo mnamdatisha binti yangu!!

Tigo mnamdatisha binti yangu!!

hahaaaaa mimi ninawangu yeye akiliona lile LA pindua pindua la voda na lile la joti jazwa ujazwe huwa anapagawa kabisa yaaani

anaanza kucheza ..daahh tech...hizi zatualibia vizazi vyetu
hata mimi nina mdogo wangu anatambaa akilisikia tu anakuja kwa kutambaa kuja kulishangaa..Aisee
 
Hivi ni kwanini aisee?
Mi wakwangu hata akiwa nje,anarudi ndani fasta.

Sijui maskio huwa wanayatega kwenye TV hatawakifanya mambo mengine au vipi!

Yaani we hujaskia,ye tayari kashastuka
 
Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.

Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....

Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...

yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.

Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.

Natanguliza shukrani.
acha kumdekeza mwanao sio kila kitu anachohitaji apewe tu mtashindwa hata kuangalia taarifa ya habari kisa mnataka mumwekee mtoto tangazo la tigo
 
Jipakulie

MALEZI MABOVU, MTOTO UMLEAVYO NDVYO AKUAVYO, ITAFKA HATUA ATAFANYA ANACHOTAKA YEYE. Jihadhari, huo siyo upendo ni kumharibu mtoto.
 
acha kumdekeza mwanao sio kila kitu anachohitaji apewe tu mtashindwa hata kuangalia taarifa ya habari kisa mnataka mumwekee mtoto tangazo la tigo
Hapana Mkuu, its kind of carely that most of us we didn't get when we were young, i think these youngsters deserves our attention as parents.
 
Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.

Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....

Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...

yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.

Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.

Natanguliza shukrani.
Ha ha ha
Kumbe wayoyo wote wanapagawa!
Na mimi lijitu lixima najikuta ksma yule mzee kwe tangazo " nina mpanho hoo, nina mpango"
 
hata mimi nina mdogo wangu anatambaa akilisikia tu anakuja kwa kutambaa kuja kulishangaa..Aisee
hahaaa yaani weee acha tu ..basi ule mdundo wasingeli ..pindua + huwa unamuacha hoi ..yaani daahh nimegundua kuwa watoto wana akili nyingi mnooo ila kama ukishindwa kumuandaa kwenye mazingira chanya ndio hvyo tena hupotea
 
hahaaaaa mimi ninawangu yeye akiliona lile LA pindua pindua la voda na lile la joti jazwa ujazwe huwa anapagawa kabisa yaaani

anaanza kucheza ..daahh tech...hizi zatualibia vizazi vyetu

Mkuu wangu kama wako.Ana miezi 8 ila Pindua pindua linamchanganya sana.
 
Mtoto wa shost yeye kuna news reader mmoja akimuona anamuita daddy na shost ni single mother.
hahaaaa watoto wanaumbua aiseee
Nina Jamaa yangu alimuacha mkew kwakisa kama hicho ..alisafiri kikazi kwenda mwanza ..huku nyuma mkewe akawa anachepuka na Jamaa mmoja hivi alikuwa nimmliki wa bar...sasa pale bar huwa panauzwa chips ..siku yasiku mume karudi kamchukua mwanae wakaenda kununua chips kwenye ile bar ...daahh mtoto sindio akamuona yule mmiliki wa bar..akaanza kumkimbilia huku anamuita ..baba ..baba...
dadeq baada ya hapo nikufautacho ITV
 
Back
Top Bottom