Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Wangu yupo tumboni akisikia sauti ya mbowe ananipiga mateke hatari mwehh bora aje tu duniani jamani!!
hahaaa ile ya clean bandit ni hit moja matata mnoooMamake alipokuwa na ujauzito wa miezi saba,alikuwa anaupenda sana ule wimbo wa Rockabye by Clean Bandit ft Sean Paul.Sasa ikawa kila mara anaupiga na na kuweka simu juu ya tumbo,basi dogo huko anarusha miguu balaa.Sasa alipozaliwa na kufikisha miezi sita tukawa tunaucheza,believe it or not,dogo akawa anafurahi na kupiga vikelele vya furaha.
hahaaaaWangu yupo tumboni akisikia sauti ya mbowe ananipiga mateke hatari mwehh bora aje tu duniani jamani!!