tigo megabox bundle

temboemll

Member
Apr 12, 2012
46
2
Habari wana jf!
Nimejaribu kujiunga na megabox ya tigo @ week 2800
2gb za kuperuz
150mb za kudownload
kila siku. Je hii ni kweli?
Je kuna mtu anayejua limit yake ukiachana na hapo juu?
Vp wadau nimejikuta kwenye speed ya ajabu ya tigo 3g ila kwenye edge hamna ki2 inasumbua. Vp speed yake next days in 3g? 4206kbps kwa mda wa masaa 8 hv toka saa 10mchana-6usku.
 
Back
Top Bottom