Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Boss haya malalamiko yako ni very serious, unahitajika udhibitisho ili kuichukulia hatua kampuni hii. Kama una ushahidi wa kutosha wafungule mashitaka hawa jamaa. Yaani bongo hii kila mahali ni utapeli...utapeli....utapeli mtindo mmoja.
Swadakta maneno yako, kitengo chao cha huduma kwa wateja ni ziro, mara sita zote nilizowapigia simu kuomba msaada sikufanikiwa. Ukipiga simu lazima iwe mara 3 mpaka nne ndo inaunga, mfumo wao kulinda akaunti ya mteja una walakini. Wanatengeneza line mpya kirahisi mno tena bila uthibitisho muafaka wa mteja. Hiki kikampuni nafikiri kimo mbioni kuuzwa au kufilisika kabisa.Tunaishi tigo kimazoea tu mkuu...
Boss haya malalamiko yako ni very serious, unahitajika udhibitisho ili kuichukulia hatua kampuni hii. Kama una ushahidi wa kutosha wafungule mashitaka hawa jamaa. Yaani bongo hii kila mahali ni utapeli...utapeli....utapeli mtindo mmoja.
Mkuu unajua process za mahakama hapa TZ???? Una uhakika mteja atatendewa haki mbele ya haya makampnuni international?? You sound to be not living in TZ!!!