Mbinu mojawapo inayotumika kwenye wizi wa mtandao

Ibnuyawar

Member
May 6, 2020
49
149
*MBINU MOJAWAPO INAYOTUMIKA KWENYE WIZI WA MTANDAO*

Tafadhali, naomba ku-share nanyi mbinu mojawapo inayotumiwa na wahalifu katika kufanikisha wizi kwa njia ya mtandao. Huu ni uzoefu nilioupata baada ya kufanya mahojiano na mtuhumiwa mmojawapo wa kesi za aina hii.

Katika tukio husika, kuna mtu aliibiwa simu na siku moja baadae ikafanyika miamala ya kuhamisha fedha kutoka kwenye account yake ya M-Pesa kiasi cha zaidi ya TZS. 3,000,000/= kwenda kwenye namba tofauti za simu. Swali ambalo wengi wangependa kujua ni kwamba, mwizi huyo aliwezaje kujua namba ya siri ya aliyeibiwa simu hadi kuweza ku- access account yake ya M-pesa na kutoa fedha! Wengi wetu wanaweza kusema watu wa kampuni za simu wanahusika katika hili. Hebu fuatilia ujue mbinu iliyotumika au inayotumiwa na wezi wa aina hii:

1. Simu ikishaibiwa, kama simu yenyewe ina password, wanatoa line na kuweka kwenye simu nyingine

2. Hatua ya pili, mwizi atataka kujua line hiyo ya simu imesajiliwa kwa jina gani? Hivyo atapiga *106# na baada ya hapo atabonyeza 1. Kama line imesajiliwa, atakuwa amepata kujua jina kamili la mmiliki wa line hiyo

3. Hatua ya tatu, atataka kufahamu account ya mwenye simu, say m-pesa, ina kiasi gani cha fedha? Hapo mwizi atatumia simu yake au ya mtu mwingine anayefahamiana naye kutuma kiasi fulani cha fedha, say TZS. 2,000/= kwenda kwenye namba ya simu ya aliyeibiwa. Pesa hiyo ikishaingia, automatically line ya simu iliyoibiwa italetewa sms inayoonyesha kutumiwa kiasi cha fedha, na *salio lake jipya la wakati huo* baada ya kutumiwa fedha.

4. Baada ya mwizi kujua salio, sasa anaweza kuweka mikakati ya kuiba kama account ya aliyeibiwa simu ina kiasi cha fedha zinazoweza kuibika.
Hatua ya kwanza anapiga simu *customer care* na kujitambulisha kuwe yeye ndiye mwenye line ya simu iliyobiwa. Kumbuka jina analo tayari.
Akishapiga simu, atawaambia kuwa amesahau password ya account yake
Customer care watakachotaka kujua kutoka kwake ni lini alifanya muamala wa mwisho, na ilikuwa ni kiasi gani, na salio lake kwenye account yake ni kiasi gani. Kumbuka taarifa zote hizo jamaa anazo tayari, hivyo anawaelezea watu wa customer care na wnamuelewa vizuri tu!
Kutokana na usahihi wa taarifa za mwizi alizotoa kwa customer care, watamuamini na kumtumia code namba ambazo atatumia kubadilisha namba ya siri, na hivyo anafanikiwa ku-access account ya victim na kufanya miamala vile atakavyo

*MUHIMU*
Ni vyema kutoa elimu kwamba ikitokea mtu kaibiwa simu yake, immediately apige simu kampuni husika na kutoa taarifa ili line yake iwe blocked. Asitumie muda mrefu kutoa taarifa polisi na kufuatilia loss report pasipo kwanza kuwasilina na service provider. Hii inaweza kusaidia kuzuia mdhara yanayoweza kutokea mara baada ya mtu kuibiwa simu. Asanteni

Nawasilisha tafadhali.
 
Mkuu hapana sio rahisi kiivo. Customer care sio wazembe kiasi hicho kudisclose namba ya siri ya mteja kirahisi ivo. Mm kuna siku nimesahau namba ya siri mpesa wakanambia nitaje vitu vifuatavyo:
Majina yangu yote niliyosajilia line

Tarehe , siku na mwaka wa kuzaliwa kwa usahihi ( na hapa ndo mtihani unaanza kwa matapeli kutojua hii kitu)

Nitaje namba zote za kitambulisho cha NIDA nilichosajilia kwa usahihi ( Hapa ndo matapeli kwisha habari yao maana zile namba ziko kama 20 hiv)

watakuuliza salio na muamara wako wa mwisho kuufanya kwene akaunti yako ya mpesa ( apa kidogo tapeli anaweza kuambulia kitu)

Afu ndo kama utataja taarifa zote kwa usahihi apo juu watakufungulia acc. Yako baada ya masaa 12.

Now u can see how hard it is kwa tapeli yoyote kua na info. Izo zote kwa usahihi. Hatoboi apo mkuu lasivyo watu tungeibiwa sana kwa namna iyo.
 
Pia.... line ya simu ni vizuri iwekewe pin unblocking number. Mwizi akiweka line kwenye simu nyingine yoyote ni lazima kwanza aingize PIN number ndiyo line iwe online.
Thats best idea. Mm nilishaweka Pin siku nyingi sana line zote zangu mbili. Ukiweka line tu kwenye simu zitahitaji uweke PIN code kwanza ili zifunguke. Na ukikosea mara 3 utaambiwa ingiza PUK na apo chacha ndo balaa lingine tena
 
Mkuu kila siku mbona naongea nao, alafu fresh tu.
Tatizo kubwa kwa voda siku hizi ni vigumu kupiga 100 au 0754100100 kuongea nao, kila kitu unajibiwa na roboti.
Ingefaa voda warudishe huduma kuongea na wateja live
 
Thats best idea. Mm nilishaweka Pin siku nyingi sana line zote zangu mbili. Ukiweka line tu kwenye simu zitahitaji uweke PIN code kwanza ili zifunguke. Na ukikosea mara 3 utaambiwa ingiza PUK na apo chacha ndo balaa lingine tena
Embu tufundishe hapa namna ya kufanya!
 
Hatua ya tatu, atataka kufahamu account ya mwenye simu, say m-pesa, ina kiasi gani cha fedha? Hapo mwizi atatumia simu yake au ya mtu mwingine anayefahamiana naye kutuma kiasi fulani cha fedha, say TZS. 2,000/= kwenda kwenye namba ya simu ya aliyeibiwa. Pesa hiyo ikishaingia, automatically line ya simu iliyoibiwa italetewa sms inayoonyesha kutumiwa kiasi cha fedha, na *salio lake jipya la wakati huo* baada ya kutumiwa fedha.
Sio kweli, huwezi kutuma pesa bila kuwa na password! Hapa bado sijashawishika maana ninachokumbuka ni kwamba ukituma pesa lazima uwe na password! Kama nakoseaa mnirekebishe
 
Kama makampuni ya simu wanatumia kigezo cha jina na miamala tu kutoa password basi hawako serious.
Bado sio kweli, soma huyu mtunzi wa hii hadithi kuna mahali kachema, au mimi ndio nakosea? Unaweza kuchukua simu ya mtu ukatuma pesa kwa mtu bila kuwa na password? Kisha muda huo huo uwapigie Customer Care kuwa umesahau password yako?? Aagh wapi
 
Sio kweli, huwezi kutuma pesa bila kuwa na password! Hapa bado sijashawishika maana ninachokumbuka ni kwamba ukituma pesa lazima uwe na password! Kama nakoseaa mnirekebishe
Amemaanisha tapeli ndio anatuma pesa kwenye namba ya aliyeibiwa lengo aone salio maana line anayomkononi so ni lahisi kuona!
 
tayari.
emoji3532.png
Akishapiga simu, atawaambia kuwa amesahau password ya account yake
emoji3532.png
Customer care watakachotaka kujua kutoka kwake ni lini alifanya muamala wa mwisho, na ilikuwa ni kiasi gani, na salio lake kwenye account yake ni kiasi gani. K
Huyo Customer care atakua kichaa. Yaani atakuuliza, muamala.wa mwisho umefanya lini, utamuambia Leo, kisha utakua umesahau password yako Leo Leo? Kweli??
 
Amemaanisha tapeli ndio anatuma pesa kwenye namba ya aliyeibiwa lengo aone salio maana line anayomkononi so ni lahisi kuona!
Hapana, OK, umejua salio langu tayari, kule watakuuliza muamala wa mwisho ulifanya lini yaani ulituma au ulitoa pesa lini sio kwamba ulipokea au ulitumiwa na nani, hebu endelea kunishawishi, sio ubishi wa kipare ni kutaka tu kujua
 
Huko kwingine anajua huyo mwenye post yake mi nimekuelekeza hapo tu bwashee!
 
*MBINU MOJAWAPO INAYOTUMIKA KWENYE WIZI WA MTANDAO*

Tafadhali, naomba ku-share nanyi mbinu mojawapo inayotumiwa na wahalifu katika kufanikisha wizi kwa njia ya mtandao. Huu ni uzoefu nilioupata baada ya kufanya mahojiano na mtuhumiwa mmojawapo wa kesi za aina hii.

Katika tukio husika, kuna mtu aliibiwa simu na siku moja baadae ikafanyika miamala ya kuhamisha fedha kutoka kwenye account yake ya M-Pesa kiasi cha zaidi ya TZS. 3,000,000/= kwenda kwenye namba tofauti za simu. Swali ambalo wengi wangependa kujua ni kwamba, mwizi huyo aliwezaje kujua namba ya siri ya aliyeibiwa simu hadi kuweza ku- access account yake ya M-pesa na kutoa fedha! Wengi wetu wanaweza kusema watu wa kampuni za simu wanahusika katika hili. Hebu fuatilia ujue mbinu iliyotumika au inayotumiwa na wezi wa aina hii:

1. Simu ikishaibiwa, kama simu yenyewe ina password, wanatoa line na kuweka kwenye simu nyingine

2. Hatua ya pili, mwizi atataka kujua line hiyo ya simu imesajiliwa kwa jina gani? Hivyo atapiga *106# na baada ya hapo atabonyeza 1. Kama line imesajiliwa, atakuwa amepata kujua jina kamili la mmiliki wa line hiyo

3. Hatua ya tatu, atataka kufahamu account ya mwenye simu, say m-pesa, ina kiasi gani cha fedha? Hapo mwizi atatumia simu yake au ya mtu mwingine anayefahamiana naye kutuma kiasi fulani cha fedha, say TZS. 2,000/= kwenda kwenye namba ya simu ya aliyeibiwa. Pesa hiyo ikishaingia, automatically line ya simu iliyoibiwa italetewa sms inayoonyesha kutumiwa kiasi cha fedha, na *salio lake jipya la wakati huo* baada ya kutumiwa fedha.

4. Baada ya mwizi kujua salio, sasa anaweza kuweka mikakati ya kuiba kama account ya aliyeibiwa simu ina kiasi cha fedha zinazoweza kuibika.
Hatua ya kwanza anapiga simu *customer care* na kujitambulisha kuwe yeye ndiye mwenye line ya simu iliyobiwa. Kumbuka jina analo tayari.
Akishapiga simu, atawaambia kuwa amesahau password ya account yake
Customer care watakachotaka kujua kutoka kwake ni lini alifanya muamala wa mwisho, na ilikuwa ni kiasi gani, na salio lake kwenye account yake ni kiasi gani. Kumbuka taarifa zote hizo jamaa anazo tayari, hivyo anawaelezea watu wa customer care na wnamuelewa vizuri tu!
Kutokana na usahihi wa taarifa za mwizi alizotoa kwa customer care, watamuamini na kumtumia code namba ambazo atatumia kubadilisha namba ya siri, na hivyo anafanikiwa ku-access account ya victim na kufanya miamala vile atakavyo

*MUHIMU*
Ni vyema kutoa elimu kwamba ikitokea mtu kaibiwa simu yake, immediately apige simu kampuni husika na kutoa taarifa ili line yake iwe blocked. Asitumie muda mrefu kutoa taarifa polisi na kufuatilia loss report pasipo kwanza kuwasilina na service provider. Hii inaweza kusaidia kuzuia mdhara yanayoweza kutokea mara baada ya mtu kuibiwa simu. Asanteni

Nawasilisha tafadhali.
Dah... big up kwa ufafanuzi mzuri. Wezi bhana!
 
Sio kweli, huwezi kutuma pesa bila kuwa na password! Hapa bado sijashawishika maana ninachokumbuka ni kwamba ukituma pesa lazima uwe na password! Kama nakoseaa mnirekebishe
Dogo, naona hujaelewa. Mwizi ndo anatuma kiasi kidogo cha pesa kwa line ya cm aliyoiba ili ajue kiasi cha fedha iliyomo humo. Hiko kiasi kikiingia anaona current balance ya cm aloiba
 
Bado sio kweli, soma huyu mtunzi wa hii hadithi kuna mahali kachema, au mimi ndio nakosea? Unaweza kuchukua simu ya mtu ukatuma pesa kwa mtu bila kuwa na password? Kisha muda huo huo uwapigie Customer Care kuwa umesahau password yako?? Aagh wapi
Ha ha ha.. afu Kuna watu huwa wanasema lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili ndo watu wataelewa sana. Hajasema hivyo, em soma tena
 
mkuu sio tu loss report,na kitambulisho cha NIDA na utaweka fingerprint,aliyeandika huu Upuuzi anaona Watu wajiiinga na umesambaa sana wtsapp huko
Hapa haongelei kupewa password kwa kuwa umepoteza cm. Bali, unaomba huko password kwa kuwa umeisahau, ila simu unayo. Unaweza kwenda kuomba "loss report" kwa kuwa umesahau password?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom