Tigo kuipigia kampeni CCM, kuvunja vunja line zao

gps boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
447
Reaction score
65
Nimeshangazwa Na Uongozi Wa TIGO Kuipigia Kampeni CCM .Uongozi Wa TIGO unapaswa kuelewa kuwa Watumiaji Wa Tigo ni Wa Itikadi mbalimbali hivyo sio busara kwa Tigo kujiingiza katika siasa.Tunapenda kuwafahamisha TIGO sie Wa itikadi tofauti Na CCM tunavunja vunja Line za Tigo Na kuachana Na TIGO kwani Tigo ni Wanasiasa.
 
Wenzako wanafanya biashara hata ukawa wako walipa watawapigia campaign mbona clouds FM inawanadi wote ccm na ukawa
 
kama ni kweli na nikipata ushahidi,kesho navunja line yao
 
Nimeshangazwa Na Uongozi Wa TIGO Kuipigia Kampeni CCM .Uongozi Wa TIGO unapaswa kuelewa kuwa Watumiaji Wa Tigo ni Wa Itikadi mbalimbali hivyo sio busara kwa Tigo kujiingiza katika siasa.Tunapenda kuwafahamisha TIGO sie Wa itikadi tofauti Na CCM tunavunja vunja Line za Tigo Na kuachana Na TIGO kwani Tigo ni Wanasiasa.
Khaa!! Huu ulevi sasa. Baada y uchaguzi huwa mnafanya kazi gani? Wote Lowassa Magufuli & co wanataafuta maisha yao mazuri. Sasa kwanini isiwe tigo? Huyu naye wakiitwa maGT naye ataenda ajabu sana
A%20S%20shade.gif
 
tiGO ni kampuni ya kibiadhara kama ukawa mnaona hamtendewi haki mwambieni Lowassa awatafutie line zenu.
 
Kwa kiasi nakubariana na mtoa post kuna vijana kadhaa ambao wanafanya kazi tigo wana kamsimamo ka kiccm na fikikiri ni mpango mkakati toka kwa viongozi wa tigo,Wafanyakazi wa tigo kura kwa CCM. Baadhi ya mamburura ya TIGO yamekubari hasa hivi vinavyozurura mitaani vinaona hayo ndo maisha Tigo kuna mrija wa CCM.Hii Serikali hovyo kabisa wanakula wachache
 
Nimeshangazwa Na Uongozi Wa TIGO Kuipigia Kampeni CCM .Uongozi Wa TIGO unapaswa kuelewa kuwa Watumiaji Wa Tigo ni Wa Itikadi mbalimbali hivyo sio busara kwa Tigo kujiingiza katika siasa.Tunapenda kuwafahamisha TIGO sie Wa itikadi tofauti Na CCM tunavunja vunja Line za Tigo Na kuachana Na TIGO kwani Tigo ni Wanasiasa.

Ungeanza kumshangaa Gwajima anayepigia debe UKAWA huku akijua fika kwamba waumini wake ni wa itikadi tofauti.
 
tiGO ni kampuni ya kibiadhara kama ukawa mnaona hamtendewi haki mwambieni Lowassa awatafutie line zenu.

Baada ya kugunduwa hilo...Jana nimetoa Pesa yangu yote Tigo pesa Nimeitupia Voda. line Ya tigo Nimeitupilia Chooni.
 
Ndugu yangu mwana Mikumi, Mimi Jonas Nkya nimedhamiria kwa heshima kubwa kuwatumikia kwa vitendo bila kujali itikadi za vyama vyetu ili kwa pamoja tulete maendeleo ya Mikumi ya Kisasa. Naomba niamini niwe mtumishi wako kwa kunipa KURA yako ya NDIYO tarehe 25 Oktoba.
 
Mbona hizo kampuni za simu zimehusika katika kuwezesha kuchangia pesa za kampeni za EL? Au kwavile wanawafanyia CCM!
 
Nimeshangazwa Na Uongozi Wa TIGO Kuipigia Kampeni CCM .Uongozi Wa TIGO unapaswa kuelewa kuwa Watumiaji Wa Tigo ni Wa Itikadi mbalimbali hivyo sio busara kwa Tigo kujiingiza katika siasa.Tunapenda kuwafahamisha TIGO sie Wa itikadi tofauti Na CCM tunavunja vunja Line za Tigo Na kuachana Na TIGO kwani Tigo ni Wanasiasa.

vunja hiyo line halafu ipige picha tuione
 
Kwa kiasi nakubariana na mtoa post kuna vijana kadhaa ambao wanafanya kazi tigo wana kamsimamo ka kiccm na fikikiri ni mpango mkakati toka kwa viongozi wa tigo,Wafanyakazi wa tigo kura kwa CCM. Baadhi ya mamburura ya TIGO yamekubari hasa hivi vinavyozurura mitaani vinaona hayo ndo maisha Tigo kuna mrija wa CCM.Hii Serikali hovyo kabisa wanakula wachache

Mkuu sio ma mbulula wanajitafutia tu riziki tu ,ndio serikali ilipotufikisha hapa ,maskini wao wale nini ??
 
Back
Top Bottom