tiGO, hadi raha dah!

Bado sana kwa Voda

Voda wanafika 1.9Mbps ukijiunga "roaming"....bila roaming utakuwa unachezea kwenye 500-950Kbps tena ukiwa WCDMA au HSDPA

Hiyo ya 4.1Mbps ya tiGo imenitisha ...kama hawajachakachua.
 
Voda wanafika 1.9Mbps ukijiunga "roaming"....bila roaming utakuwa unachezea kwenye 500-950Kbps tena ukiwa WCDMA au HSDPA

Hiyo ya 4.1Mbps ya tiGo imenitisha ...kama hawajachakachua.

voda si haba ndugu yangu constant 2.0 - 4.2 mbps

cc NingaR

 
Last edited by a moderator:
Stand alone ndio nini???,mi naona watu wameleta screenshot za speed ya internet connection wanazotumia na mi nikaona nilete ya kwangu,kuna tatizo kwani???
mKUU HAPO ANAMAANISHA KWAMBA PD PROXY NI KITEGEMEZI TU HAIWEZI SIMAMA YENYEWE
 

Mkuu
Kuficha Masaburi ni muhimu kaka
Maana si ajabu hiyo ni wajanja night offer
So why dont you Hideyourass ukapiga mzigo 24Hrs
DEVUQUARTER-DEVUKOTA

Sidhani kama ya mabundi inaweza kukimbiza mbaya maana huku kwetu ikifika mida hiyo tabu tupu yaani net slow kinyama
ona speed nipatayo muda huu alafu kesho nitaatach ya muda usio wa offer ikibidi hata video nitaweka.

 
Taratiiiiiib...
 

Attachments

  • Screenshot - 6_26_2013 , 11_58_46 PM.jpg
    15.4 KB · Views: 116
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…