Unaitaji E1 una traffic kubwa ya line na je utaitaji DID vip kuusu toll Free number na kuusu galama provider ndo mwenye kutoa mchanganuoHabarini wakuu,
Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi insights za hapa na pale.
Shukrani.