Kubbra Hooda
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 208
- 297
Muanzisha uzi naomba nikusahihishe kidogo ni SHUGHULI na SI SHUGHURI.
Serengeti Figidi Fiesitraa 2012 Bhaaaaaas!!!,Serengeti Figidi Fiesitra 2013 No no no noma Sanaaaa!!Fiesta ilikuwaga ya Serengeti tu. Siku hizi upuuzi tu. Hao tigo wameleta matabaka kwa wasanii.
Hivi kutembelea shule ni ubunifu?nilicheka sana zile segment za Fiesta za kutembelea mashule na wasafi wamecopy kama zilivyo.
Rudini shule,kupiga kula badala ya kupiga kura. Acha kuleta umbumbumbu katika platform ya GT.hujui kinachoendelea, ungepita tu mita 1000
Hajateleza,ni ubongo wa kuku tu hakuna anachojua.Kateleza man,alimaanisha kura.
hapana sio ubunifu mkuu.Hivi kutembelea shule ni ubunifu?
Unamwambia boss wako hakuna jipya hapo ila anabebwa na experience yake (ambayo wewe hauna)[emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna kitu hapo , unawapamba tuu.... Kinachowabeba ni uzoefu na coverage ya Clouds fm , Ila hakuna jipya lolote watakalofanya....
Hapana sio ubunifu kabisa. Na wewe si unatembeleaga mkuu?? [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi kutembelea shule ni ubunifu?
hao ndiyo watazania walivyo yani anakuambia hakuna chochote kipya hapo ni uzoefu tu.Unamwambia boss wako hakuna jipya hapo ila anabebwa na experience yake (ambayo wewe hauna)[emoji3][emoji3][emoji3]
Na uhalisia ni kuwa popularity ya fiesta imepungua Sana, na hii inasababishwa na kuwepo Kwa related festival kama Nandi festival , wasafi n.k mara sjui usku wa Nani Nani...na wote wanafanya the same thing, hata diamond mwaka Kesho ajipange Sana kuleta ubunifu mpyaIla tuongeeni ukweli bifu na ule upande mwingine ume wapoteza kidgo clouds
Hapana sio ubunifu kabisa. Na wewe si unatembeleaga mkuu?? [emoji3][emoji3][emoji3]
Tujifunze ku appreciate kazi za wenzetu jamani
hapana sio ubunifu mkuu.
ehhe una swali lingine?
kutembelea popote sio ubunifu , kinachofanyika huko ulipotembelea ndiyo ubunifu unahitajika.Limeisha mkuu ,nilishangaa kuskia kutembelea shule ni ubunifu [emoji3]
Ahaaaaaaah unajitekenya na kucheka mwenyeweSawa Seba
Mkuu acha ushabiki wa hovyo hovyo,hivi kuna tamasha lenye wadhamini wengi hapa Tanzania kuzidi lile la wasafi festival?ni kwa muda mrefu sana nimefatilia matamasha kama, Mziki Mnene, Komaa concert, Fiesta, Jembeka festival, Kili music, pamoja na Wasafi festival
matamasha haya yote yana wadhamini tofauti, ila nimekuja kugundua linapokuja combination la Clouds na Tigo kwao hawanaga shughuri ndogo
Clouds ina team nzuri sana ya marketing, content ndio maana kwao hata kitu kama ni kidogo hukipigia kelele na kila mtu akaweka atention yakutaka kujua ni nini kitakachojili,
Tigo wote tunafahamu labda ujisahaurishe wana team ya marketing ambayo ni damu changa na inajielewa ndio maana product zao nyingi hupigiwa kelele kwenye TV, Radio, social media, bilboard, mpaka utataka kujua ni nini hiko
combination ya Clouds media na Tigo ndio inakuja kubeba Tamasha la Fiesta kuwa tamasha kubwa na tamasha linalopata milage sana ndani na nje ya nchi kuliko matamasha mengine hii ni kutokana na kelele zinazopigwa na Mdhamini pamoja na muandaaji kabla ya kilele cha shughuri husika, wana activities mbali mbali kama roadshow kwa mdhamini, baadhi ya segment na vipindi kufanywa mitaani kwa muandaaji,
wengine wanaoandaa matamasha pia wanaweza kuiga mfano huu
Tigo Fiesta 2019 size yako "levels babby"