"Tigo fiesta" hakunaga shughuri ndogo

"Tigo fiesta" hakunaga shughuri ndogo

Mkuu check hio list ya wadhamini,halafu fananisha na fiesta uweke hapa ulinganishe uone ni nani mwenye marketing nzuri,kati ya hao tigo na clouds then Pepsi na wasafi.
Halafu kumbuka wadhamini wa wasafi ni brand kubwa sana duniani sio ya kulinganisha na hao tigo.
Hapo wasafi kuna pepsi then startimes
Wakati huko fiesta nimeona tigo tu.
Screenshot_20190924-093435.jpeg
 
Mkuu check hio list ya wadhamini,halafu fananisha na fiesta uweke hapa ulinganishe uone ni nani mwenye marketing nzuri,kati ya hao tigo na clouds then Pepsi na wasafi.
Halafu kumbuka wadhamini wa wasafi ni brand kubwa sana duniani sio ya kulinganisha na hao tigo.
Hapo wasafi kuna pepsi then startimes
Wakati huko fiesta nimeona tigo tu.View attachment 1214726
Ishu sio kuwa na wadhamini wengi..ishu ni udhamini ni wa kiasi gani??
 
Mkuu acha ushabiki wa hovyo hovyo,hivi kuna tamasha lenye wadhamini wengi hapa Tanzania kuzidi lile la wasafi festival?
Au unazungumzia marketing hipi hio?
Tigo fiesta hadi sasa inawadhamini wangapi mkuu?
umezungumza kama limbukeni, wazamini wengi wametoa kiasi gani cha pesa kudhamii tamasha, hapo zungumzia mdhamini mkuu Pepsi ndio anaebeba tamasha hawa wengine wasindikizaji tu, Tigo ndio mdhamini mkuu kwa Fiesta, ingia ndani fatilia fungu linalotolewa na Tigo kwa mwaka na Pepsi fungu wanalotoa kwa mwaka ndio utajua hujui
 
Back
Top Bottom