mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
ni kwa muda mrefu sana nimefatilia matamasha kama, Mziki Mnene, Komaa concert, Fiesta, Jembeka festival, Kili music, pamoja na Wasafi festival
matamasha haya yote yana wadhamini tofauti, ila nimekuja kugundua linapokuja combination la Clouds na Tigo kwao hawanaga shughuri ndogo
Clouds ina team nzuri sana ya marketing, content ndio maana kwao hata kitu kama ni kidogo hukipigia kelele na kila mtu akaweka atention yakutaka kujua ni nini kitakachojili,
Tigo wote tunafahamu labda ujisahaurishe wana team ya marketing ambayo ni damu changa na inajielewa ndio maana product zao nyingi hupigiwa kelele kwenye TV, Radio, social media, bilboard, mpaka utataka kujua ni nini hiko
combination ya Clouds media na Tigo ndio inakuja kubeba Tamasha la Fiesta kuwa tamasha kubwa na tamasha linalopata milage sana ndani na nje ya nchi kuliko matamasha mengine hii ni kutokana na kelele zinazopigwa na Mdhamini pamoja na muandaaji kabla ya kilele cha shughuri husika, wana activities mbali mbali kama roadshow kwa mdhamini, baadhi ya segment na vipindi kufanywa mitaani kwa muandaaji,
wengine wanaoandaa matamasha pia wanaweza kuiga mfano huu
Tigo Fiesta 2019 size yako "levels babby"