Nini?--Hebu rejea tena!--mkuu weka wazi tufaidi sote.Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.
<br />zantel wana line za gsm?
vipi, speed inaridhisha?Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.
Habari wakuu?
mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net kuji-disconnect mara kwa mara na unapo jaribuku-dial-connection tena ina goma na kuleta error 619,ikidai port inatumika na imefungwa, hivyo nalazimika kusubiri dakika 5/10 iliniweze kuunganisha tena huduma hii... je ni mtandao wa tigo uko busy au umelemewa na wateja? au ndio mambo ya mvua na network kimeo?
Sehemu niliyoko napata full 3G network.
naomba maoni yenu kama kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili.
Me too :mod:hilo tatizo ni common sana, chakufanya ni kubadili USB port. mimi huwa nali solve namna hiyo
Nilikumbana na hilo tatizo jana ni kaitupilia mbali line ya tigo na kuendeleza uchakachuaji kwa zantel... Zantel kwenye line zao za GSM MTANDAO NI BURE ili mrandi uwe na tsh 600 ya kukuunganisha kwenye mtandao.