Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
mbona hata hiyo extreme is no longer there!Kwa kweli TIGO wanasikitisha, unaweza kuongea na simu inakatika bila sababu au inakoromaaa. Huu si mtandao nakwambia, wabaki wanafunzi tu wa sekondari kuutumia na extreme zao
kweli kabisa hata mimi nilijaribu kutuma sms kwenda nigeria tigo wakaniambia message not sent nikajaribu tena na tena kama mara 6 kuja kucheki salio tigo wakawa wamelamba karibu 1000.Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?
Siyo Customer Service tu yaani hawa jamaa huduma zao zote kwa sasa ni mbovu kabisa.
Mkuu TibaSi kweli hata kidogo labda kama una ajenda ya siri hapa. Mimi natumia Tigo lakini sijaona matatizo yoyote. Natuma na kupokea sms kutoka sehemu tofauti za dunia bila shida. kuna haja ya kutafuta kiini cha tatizo kwanza kuliko kukimbilia kuwalaumu Tigo. Inawezekana tatizo lipo kwa huyo unayemtumia sms.
Tiba
matambo: sikiliza ni kweli nilipata shida kupata hiyo exreme mwishoni mwa wiki jana. Niliandika neno extreme nikatuma 15372 kama nilivyokuwa nafanya huko nyuma sikupata jibu lolote kabisa.hiyo extreme haipo tangu lini?sisi ndo watumiaji wa tiGO NA EXTREME TUNAYO ILA IPO KWA DAKIKA 200 which is still fairer bado tunaenjoy 1.3 ths per second ambayo ni for 24 hrs na pia haina masharti ya kujiunga wal kuomba
not only that tigo is fairer than voda or zain when you call from tigo to other networks kuliko ukitumia zain au voda kwenda mitandao mingine
naema haya kwani i have all three lines and all are active but still tigo is best to me
Nimefanikia kupata namba ya huduma kwa wateja ambayo ni. 0713 800 800
Tigo Customer care kwa sasa ni namba 15301 na si namba 100 kama zamani gharama ni Ths 100 na si bure kama Zamani.
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika aliyetumiwa,kwa upande wa USA ina goma kabisa kwenda na inanionyesha alama ya X badala ya tick...Nimejaribu kupiga namba 100 ya Customer services bila mafanikio yoyote jibu ninalo lipata ni kwamba ni "Akikisha namba unayo piga na upige tena" Swali: hawa jamaa wamebadilisha namba ya huduma kwa wateja au ndio wametuchoka wateja wao? Najuta kujiunga na huu mtandao!
Wadau wa JF je kuna mtu yoyote amekumbana na tatizo kama la kwangu?
Ipi ni namba sahihi? Bado sijaelewa kwa nini mtandao wa Tigo wanacharge huduma kwa wateja shilingi 100. Nilidhani huduma hii inatakiwa kuwa bure kisheria!