Tigo App yangu imedukuliwa, Wengine vipi?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,290
Reaction score
26,766
Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction.

Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
 
Nilibadili simu nimejaribu kuingia imenigomea hiyo app
 
App za mitandao ya simu zote za kisengerema
Airtel app pekee ndio app ambayo sijawahi shuhudia mauzauza
Kama voda wana business app ya Lipa kwa simu mara nyingi inazingua na wanajua hizo line za lipa namba hatuziweki kwenye simu
 
Kwaiyo mwenzetu mfumo wako wa tigo umedukuliwa na wahuni(...katuga voice)
 
Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction.

Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
Katika hiyo sentensi ondoa App ili nitafute jibu.
 
Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction.

Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
Kampuni ya tigo imepoteza muelekeo wa kibiashara ...viongozi wapumbavu wasio na vision ndiyo wanaiongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…