Tigo acheni wizi

Mkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?

Thanks.
Kazi kwako vifurushi vya chuo vya voda hivo hapo ukitaka kuna vya pindua pindua ambapo unapewa Fb, whatsapp, insta Na sms bure pia kumbuka unit 1 ni sawa na 1 ya voda pia dakika 1 ya mitandao mingine ni sawa na unit 5 kwa hiyo kile kifurushi cha 2000 kwa wiki chenye unit 1500 ni sawa na dakika 1500 za voda lakini ukizigeuza kuwa mitandao yote ni sawa na dakika 300 kwa wiki utake nn upate nn tena VODACOM SIHAMI MPAKA NAKUFA WALA NIKIWA NA LAINI YA VODA YA CHUO SIHITAJI LAINI YA MTANDAO WOWOTE TENA INANITOSHA. PIA KUNA KIFURUSHI JIPYA CHA TSH 500 KWA WIKI. ukitaka kubadilishiwa laini yako ya voda ya kawaida kuwa ya chuo hata kama wewe sio mwanachuo nitafute nikusaidie .0756695846.
 
Mkuu, naomba unitajie kifurushi kilicho poa cha voda kwa wiki kilicho na mb na dakika za mitandao mingine napiga ngapi ngapi na napata dakika na mb ngapi pia...?

Thanks.
*149*42# ....unapata dkk 150 voda to voda ..15 mitandao yote....GB 2 wiki kwa buku jero
 
We kama Mimi.
....natumia tu internet sijui nilijiunga lini
 
Ngoja nimtongoze dada yake naliana
 

Aiseeeee.

Hii Airtel itabidi ipumzike kwanza kama ndio hivyo, hii voda niliinunua special tu kwa ajili ya kupokea hela toka US via voda M-PESA skujua kama kuna mambo mazuri kama hayo mkuu.

Ngoja nifike ofisini niitoe kabisa mkuu. Thanks a lot aisee.
 

Daaah, Aisee nyi jamaa mlikuwa mnafaidi peke enu wakuu.

Hii Airtel naivunja kabisa bundle zao sio rafiki na hata network ni zaidi ya konokono mkuu.

Mungu awabariki mno aisee.
 
Yani baada yakukuta ttcl huku kwetu wana 4G Tigo ndio ikawa byebye sio kwa ulaji wa mb
 
Haha hahahaha this is Tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…