Tigo acheni utapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo acheni utapeli

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHOMA, Sep 1, 2012.

 1. C

  CHOMA Senior Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba Mamlaka zinazohusika zifuatilie tabia ya Kampuni hii na nyinginezo ya kuendelea kukata malipo ya ku download muziki mfululizo kana kwamba maombi hayo ni ya kudumu. Huu ni wizi wa hadharani.Mtindo wa kujipatia pesa kwa njia ya vigezo na masharti ya ulaghai ni kosa la jinai.Kampuni hizi zinajua wazi kuwa mteja wao sio rahisi kwenda kuwataka wasimamishe makato hayo na hata kwa wanaokwenda kuomba makato hayo yasimamishwe inakuwa ni tafrani sana mpaka wakukubalie.
   
 2. C

  CHOMA Senior Member

  #2

Loading...