Tigo Acheni Uongo

Tigo Acheni Uongo

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Nimepokea message kutoka Tigo Pesa:
TigoPesa! Sasa tuma pesa kwenda AKAUNTI YA BENKI YOYOTE. Piga *150*01#chagua TUMA PESA kisha chagua TUMA KWENDA BANK. Tigo Pesa tunarahisisha maisha.
Nikaona mambo si ndio haya, lakini kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa kumbe vibenki vyenyewe ni vitano tu – TPB, BOA, ACB, Amana na CRDB. Kusema kweli hakugharimu chochote.
 
Ina usalama wa kutosha kwa akaunti yangu hiyo huduma!?
 
Biashara matangazo mkuu
Jifunze

Biashara ni matangazo, sio UONGO. Walichofanya Tigo hapa ni kuwadanganya wateja wao. Au inakubalika kuwahadaa watu kwa kivuli cha 'biashara ni matangazo?'
 
Nimepokea message kutoka Tigo Pesa:
TigoPesa! Sasa tuma pesa kwenda AKAUNTI YA BENKI YOYOTE. Piga *150*01#chagua TUMA PESA kisha chagua TUMA KWENDA BANK. Tigo Pesa tunarahisisha maisha.
Nikaona mambo si ndio haya, lakini kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa kumbe vibenki vyenyewe ni vitano tu – TPB, BOA, ACB, Amana na CRDB. Kusema kweli hakugharimu chochote.
Tena ukicheza watakuambia unadaiwa salio hivyo ukiingiza vocha wanakata ni wahuni hawana mfano!
 
Inabidi kuwa makini sana na password otherwise ni majanga
 
Hongera tiGo kwa juduma hii mpya najua mwanzo nimgumu.nawapa big-up sana sababu mnatupeleka mahali ambapo hatuta tembea na mabulungutu ya pesa.
 
Tigo kwa Tigo wanasema ni 1Tsh per second si kweli ni 2.7 Tsh per second.
 
Back
Top Bottom