Tigo acheni uhuni wa darasa la pili B

Tigo acheni uhuni wa darasa la pili B

NATAKA KUFANYA KITU KAMA HK KITAMBO SANA LAKINI SIMU YANGU LINE MOJA TATIZO.
Nunua kitochi, hio line yako hamishia huko, kwenye smartphone weka line ya Halotel.
 
tigo wamekuwaje sjui huduma mbovu ukiwapigia call centre ahadi zisizona utekelezaji oo tumepeleka idara husika idara husika sjui ndo ipi iyo isiyorudisha majibu nimetuma hela voda. voda wameizuia tigo hawataki nirudishia wiki sasa kila unaempigia idara husika yaelekea ni michezo yao kudhulumu hela za watu
P
 
Kusema ukweli Tigo inaboa sana, sasa ndio usafiri kwenda nje ya Mji ukifika Km 15 toka Mjini simu haina network. Kwa ufupi tigo ni kwa matumiz ya Mjini tu.

Jamani hawa jamaa ni kiboko jana nimeweka vocha ya buku jero wakataka kama mia nane....kuwapigia niwaulize wananambia eti nilikopa....mkopo wenyewe wa 300....wamekura hela yote masikini wa Mungu ata sjakopa.....haya mpaka lini?
 
Duh... Punguza hasira. Mpk nimehisi hasira zako
Sijaongea kwa hasira bhana.... JF hasira umletee nani? Mijitu yenyewe imepinda..... ikigeuka kushoto inapunguziwa mshahara, ikigeukia kulia orodha ya wadaiwa sugu imetoka, nyuma kodi zimebana yaani sitelesi mtindo mnyoofu.
Hapo hapo matumizi ya msaada yetu kwa wahanga wa tetemeko imepelekwa kwenye miundombinu
 
Duh... Punguza hasira. Mpk nimehisi hasira zako
Sijaongea kwa hasira bhana.... JF hasira umletee nani? Mijitu yenyewe imepinda..... ikigeuka kushoto inapunguziwa mshahara, ikigeukia kulia orodha ya wadaiwa sugu imetoka, nyuma kodi zimebana yaani sitelesi mtindo mnyoofu.
Hapo hapo matumizi ya msaada yetu kwa wahanga wa tetemeko imepelekwa kwenye miundombinu
 
tigo wamekuwaje sjui huduma mbovu ukiwapigia call centre ahadi zisizona utekelezaji oo tumepeleka idara husika idara husika sjui ndo ipi iyo isiyorudisha majibu nimetuma hela voda. voda wameizuia tigo hawataki nirudishia wiki sasa kila unaempigia idara husika yaelekea ni michezo yao kudhulumu hela za watu

Hata na Mimi naona wameshanidhurumu ela yangu, nilituma ela kwa namba kimakosa nikaomba idhuhuliwe, wakasema wameshaidhuia baada ya 24hrs itarudi Kwenye account yangu lakini baada ya 48hrs nikawapigia kuulizia hakuna ela iliyorudi, wakaniambia wanafanya mawasiliano na kule nilipotuma kimakosa lakini hawampati muhusika, hii ni wiki ya pili sasa kimyaa.
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala ya kuwa mnatusukumia shida tusizozitaka.
Sasa mmenipa ratiba nyingine ambayo sikuipanga, ya kutembelea ofisi zenu.
Hii ni gharama kuna nauli na gharama ya muda.
Tafadhali tuacheni tumechoka na wizi wa Taifa Hili, tuna majeraha ya kutapeluwa pesa tulizochanga Kagera na nyie tena mnatuongezea mengine
TUWACHENI TUPUMUWE
Pole sana mkuu
 
Amin amin nakuambia...

Leo ntakuwa mwanafunzi mwenye line ya halotel...

Nakushukuru sana kwa kunifumbua macho kiongozi wangu
Line ya mwana chuo iko vzr sana, vifurushi vyake ni bei nafuu sana. Barikiwa unapo tumia.
 
Leo nimepokea ujumbe huu kutoka Tigo. Wameniunganisha kwenye kucheza magemu na wanataka niwe nawalipa TZS.200 per day. Sijaomba waniunganishe na wala mimi sio mpenzi wa games.

Nimejaribu kutuma neno ONDOA kwenye 15302 ujumbe hauendi.
Jamani Tigo tunajua kuwa mmefulia kinoma na mnapunguza wafanyakazi wenu ili kubana matumizi. Tafuteni njia halali za kuongeza mapato yenu badala ya kuwa mnatusukumia shida tusizozitaka.
Sasa mmenipa ratiba nyingine ambayo sikuipanga, ya kutembelea ofisi zenu.
Hii ni gharama kuna nauli na gharama ya muda.
Tafadhali tuacheni tumechoka na wizi wa Taifa Hili, tuna majeraha ya kutapeluwa pesa tulizochanga Kagera na nyie tena mnatuongezea mengine
TUWACHENI TUPUMUWE
Sio tigo mitandao yote ni wahuni tu Leo nimweka 2000 kwenye airtel nakajiunga na kifurushi cha siku cha ajabu napiga cm baada ya nusu SAA naambiwa salio lako halitoshi na nilivyopiga Huduma Kwa Wateja cm hawapokei. Huu ni msiba
 
Back
Top Bottom