Habari Wajumbe
Kampuni ya Tigo imekua ni kampuni inayoongoza kwa kulalamikiwa kwenye sekta ya mawasiliano Tanzania.
Kwa uzembe, Utapeli, Uwongo, huduma mbovu na ni kampuni yenye majibu mepesi kwenye maswali magumu.
Kila mtumiaji wa tigo ana kisanga chake na hii kampuni ila kwa mimi... Hawa jamaa wamekua wakitangaza kila mahala... Unapofungiwa laini yako, nenda kwa wakala wao yoyote na kitambulisho au no. Yako ya nida utafunguliwa laini yako papo hapo na huduma zote zitarudi hapo hapo... Wanatangaza sana wajumbe mnafahamu hilo..
SIKU YA IJUMAA tarehe 31/01/2019, nilifika NIDA Mwanza Buswelu kufutilia no. Yangu, Mungu saidia niliipata,...
Picha linaanza natoka pale NIDA nakutana na wakala wa Tigo na mitandao mbalimbali.., ananiambia laini yako tukisajili hapa itakua hewan baada ya lisaa limoja.... Nikabaki naduwaa... Nikamwambia mbona mnatangsza kila kona laini inafunguliwa muda huo huo ukisajili... wakala kaniambia kwa uzoefu wake kaa lisaa limoja zima simu washa... Itakua sawa.... Nikaona isiwe tabu.. lisaa limoja kitu gani.... Yakapita masaa manne hamna kitu.... Ikabidi niende Ofisi zao Tigo, nikawaambia hivi mbona ni saa la tano hamjafungua laini yangu... Wananiambia itafunguka baada ya masaa 12... Nikauliza tena sasa mbona mnadanganya huko duniani inafunguka papo hapo.... Majibu yao oooh system inapokea maombi meng hivyo inafungua taratibu.. mpaka sasa naandika huu ujumbe yameshapita masaa 72.... Siwezi kuaccess huduma za kupiga simu, kutoa fedha na kadhalika..
ISSUES NINAZOZIONA
Management kuanzia TOP mpaka Chini ni watu wa ovyo maana yake hawakustahili kuwepo kwenye hizo nafasi.
Kushindwa kudeliver unachokisema au maana yake wewe ni muongo au tapeli na ndo picha tunayoipata
Kushindwa kutoa taarifa kwa umma kama kuna tatizo fulani ambalo mnafahamu linaweza kugusa watumiaji wengi wa mtandao maana yake mnafanya vitu kwa kubahatisha
Mwisho hii kampuni ina matatizo makubwa sana ya kiungozi, kimfumo na kimiundombinu.
NB..... Nafahamu naweza kuhama ila lazima waambiwe ingawa watu wameshalalamika sana kuhusu hii Kampuni lakini TiGo ni aibu kwa sekta ya mawasiliano Tanzania....
Sent using Jamii Forums mobile app