Tigo 4G+

Tigo 4G+

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
1,062
Reaction score
993
Habarini wanajukwaa.. kwenye pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tangazo hili katika Page ya Facebook ya Tigo (Kama inavyoonekana kwenye Picha). Tigo inadai kuwa mtandao wa pili (Ingawa mpaka leo TTCL sijawahi ona ikifikia spidi za LTE-A) kuwa na 4G+ hapa TZ yenye theoretical speeds za hadi 120mbps. Swali langu kwa wanajukwaa, maana tumetapakaa TZ nzima je, mmeona mabadiliko yoyote ya spidi ya 4G ya tigo au na hili ni changa la macho lingine kama la TTCL?
 
Attachments

  • 41736296_1882427971793546_1238948561379393536_n.jpg
    41736296_1882427971793546_1238948561379393536_n.jpg
    61 KB · Views: 44
Mimi nilirenew line ya tigo kuwa 4G lakini mpaka leo inaniandikia H+.au hii 4G ni kwa dar pekee?
 
Mimi nilirenew line ya tigo kuwa 4G lakini mpaka leo inaniandikia H+.au hii 4G ni kwa dar pekee?
Kwa mujibu wa Tigo 4g ipo kila mahali ukitoa mikoa hii 5
images%20(3).jpeg
 
Mimi nilirenew line ya tigo kuwa 4G lakini mpaka leo inaniandikia H+.au hii 4G ni kwa dar pekee?
Je Simu yako uliyonayo inasupport 4G?! Na Kama inasupport,je inakubali 4G Band za Tigo?!
 
Habarini wanajukwaa.. kwenye pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tangazo hili katika Page ya Facebook ya Tigo (Kama inavyoonekana kwenye Picha). Tigo inadai kuwa mtandao wa pili (Ingawa mpaka leo TTCL sijawahi ona ikifikia spidi za LTE-A) kuwa na 4G+ hapa TZ yenye theoretical speeds za hadi 120mbps. Swali langu kwa wanajukwaa, maana tumetapakaa TZ nzima je, mmeona mabadiliko yoyote ya spidi ya 4G ya tigo au na hili ni changa la macho lingine kama la TTCL?
Mkuu simu yako ina support hio lte? Maana si kila simu ya 4g inakubali LTE-A.

Nitaleta mrejesho.
 
Huu nao ni uongo kusama 4G inapatikana kila mahali labda kama kila makao makuu ya mkoa kuna maeneo mengi tu hasa vijijini 3G haipo isipokuwa halotel.
Ahh mkuu hayo sio maneno yangu hao ni Tigo..Tunajua watakuwa wamefunga base station chache tu 4G katika maeneo yenye ROI (Return On Investment) kubwa na kuacha maeneo kama vijijini yasio na ROI.
 
Mkuu simu yako ina support hio lte? Maana si kila simu ya 4g inakubali LTE-A.

Nitaleta mrejesho.
Ndio inakubali, though ni simu ya zamani lakini ina LTE- A CAT 6 300Mbps/50Mbps Up/Down respectively-- naamini simu zote 2014 kwenda juu zinayo LTE-A hadi hizi budget Xiaomi zina CAT 12 600Mbps/100Mbps. Yani hapa nilikuwa nasubiria tu engineer wa tigo aniambia eneo flani/ base station flani ina 4G+ ningeenda muda huo huo
 
Back
Top Bottom