chura mweusi
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 394
- 89
HALOTEL nawapa gwala. maana hawajajikita mjini tu bali hadi bush unagonga 3G. Hata uwe chaka la wapi unagonga 3G.
Haifikii TTCL 4G LTE
Naongezea hao sijui tigo,voda airtel waache uzembe na kukariri tu kuwa huduma za internet zipo mijini.Kazi yao kuweka hizi huduma kwenye baadhi ya miji hasa mijini na kuacha wilaya na miji mingi tu.Ukiwauliza ooh vigezo ooh bajet ohh ushuzi ushuzi tu wanajibu.Watu wote sasa hivi wanahitaji hizi huduma kuanzia mjini mapaka vijijini.Sasa uliyetuma post nimetumia line kupitia Modem ya tigo hapa nilipo sasa hivi ikizi DOWNLOAD SPEED 256KPS hapo imejitahidi.Hapa nilipo nikitumia Halotel 3g Modem DOWNLOAD SPEED YA JUU NI 2.5MBS Ikishuka sana ni 535KPS Na bado na uwezo wa kuweka Movies KUMI Torrents.Ndani ya saa Moja na Nusu zinakatika.Nipo KIJIJINI HAPA NILIPO.NISHAURI NIJE KUDOWN LOADS HAPO ULIPO?Safi sana mkuu
Hao halotel bado wana wateja wachache sana ndo maana mtandao wao una speed hakuna congestion kama mitandao mingine, subiri wapate wateja wa kutosha uone...Wengine watasema ni matangazo lakini ukweli tuuseme halotel kwenye net wapo vizuri na ni 3g jiulize wakianza kutoa huduma ya 4g hata wale wa smile watahama.