snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 May 18, 2014 #1 Wadau leo nimebonyeza *149*44# kwenye laini yangu ya Tigo nikakopeshwa 512MB sasa sielewi ntatakiwa kulipa kiasi gani ili kumaliza deni ! Hili la MB msaada please !
Wadau leo nimebonyeza *149*44# kwenye laini yangu ya Tigo nikakopeshwa 512MB sasa sielewi ntatakiwa kulipa kiasi gani ili kumaliza deni ! Hili la MB msaada please !
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 May 18, 2014 #2 Mmmh Unakopeshwa Bila Kuhakikisha kuwa Utalipa sh Ngapi??
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 May 18, 2014 Thread starter #3 RGforever said: Mmmh Unakopeshwa Bila Kuhakikisha kuwa Utalipa sh Ngapi?? Click to expand... Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo !
RGforever said: Mmmh Unakopeshwa Bila Kuhakikisha kuwa Utalipa sh Ngapi?? Click to expand... Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo !
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 May 18, 2014 #4 snipa said: Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo ! Click to expand... Mmh pole
snipa said: Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo ! Click to expand... Mmh pole
MinMash JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 373 Reaction score 161 May 18, 2014 #5 net mtelezo ni nini?
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 May 18, 2014 #6 nimejaribu kwangu pia imekubali sa sijui hiki kifurushi kinatumika ndani ya muda gani
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 May 18, 2014 Thread starter #7 Tmajuto said: net mtelezo ni nini? Click to expand... Ni internet mkuu !
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 May 19, 2014 #8 gharama ya kulipa ni 500
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,003 May 19, 2014 #9 Luno G said: gharama ya kulipa ni 500 Click to expand... life span je? Inakaa kwa muda gani?
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,311 Reaction score 5,735 May 19, 2014 #10 Swat said: life span je? Inakaa kwa muda gani? Click to expand... Hivi ile *148*00# then 3-Min Kabang, then 2- Kwa week, kea bei ya 4999 hawa jamaa wameiondoa? Wameacha elfu 15 na elf9 kwa week! Hiyo hapo ni bei ghali bhana, mi siwezi kulipa hiyo wakat wenzao elf5 unapata muda wa maongez wa week na MB500!
Swat said: life span je? Inakaa kwa muda gani? Click to expand... Hivi ile *148*00# then 3-Min Kabang, then 2- Kwa week, kea bei ya 4999 hawa jamaa wameiondoa? Wameacha elfu 15 na elf9 kwa week! Hiyo hapo ni bei ghali bhana, mi siwezi kulipa hiyo wakat wenzao elf5 unapata muda wa maongez wa week na MB500!
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 May 22, 2014 #11 snipa said: Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo ! Click to expand... snipa huo mtelezo 2shee bac mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snipa said: Afu mbaya zaidi nilikuwa na test kama ntapewa dakika/salio nashangaa wamenipa ma MB wakati natumia Net mtelezo ! Click to expand... snipa huo mtelezo 2shee bac mkuu