I am happy for Mr Tiger Wood! Kuishi na mwanamke anayekupa Xmas https://jamii.app/JFUserGuide lazima cheating itakuwepo. Maisha yanaendelea kama kawaida aweke mkazo kwenye golf....this world is full of nice bitches.
mnh utadhania ulikuwa unawaona chumbani kwao:mad2:
hata hivyo mbona hakutulia alipocheat na mwanamke wa pili,wa tatu wa nne...wa tano...etc
au wote walikuwa wanampa xmas https://jamii.app/JFUserGuide????
kucheat na wanawake 12 kume draw conclusion...
tiger sio mtu wa kusettle down na mtu...
he is bored easily,i wonder why did he get married if he knew this..????:mad2:
Lakini kama kweli Woods katika aliotembea nao, kulikuwa na mwanamke anapenda sana, nadhani na huyu mzungu walikuwa wanaishi kwa kuvumiliana. Ikishafika sehemu mtu ukachanganyikiwa na mwanamke wa nje ya ndoa, hakuna ubushi kuwa tayari ndoa inalazimishwa. Ziko nyingi za namna hii hata hapa bongo ambapo bwana akifika home anaona kama ameingia motoni lakini akiwa bar ni raha mustarehe.
Broda! Kwa kweli umeainisha mengi wanaume tunakumbana nayo! Kuna jamaa alikuwa anasema akiwa pub naishi na yule mwanamke sababu wazazi wake naheshiamana nao sana! Ila mtoto wao si mke kabisa.
Tiger Woods ameachana rasimi na mkewe Elin Nordegren. Woods ametangaza katika website yake na kusema kwamba ndoa yao na Elin imefikia tamati leo na hukumu imetolewa leo katika mahakama ya kesi za ndoa ilopo Bay County (Florida).
Katika taarifa yao ya pamoja Tiger na Elin wamesema wanaachana katika majonzi lakini wanatakiana maisha mema ya kila mtu kivyake.
Kwa habari zaidi tembelea website ya Woods -www.tigerwoods.com, panaposomeka: "Elin Nordegren and Tiger Woods confirmed today that they have divorced"
bora huyo mwanamke amekuwa mkweli...
lets face it,utamsamehe mtu kama amecheat mara moja,
once hili tendo likijirudia,kusamehe inakuwa ngumu..
scandal ya tiger iliiibua wanawake si chini ya 12...!!
utasamehe mtu wa hivi kweli??...labda kama una mapungufu na huamini kabisaaaa kama maisha yatasonga bila ya huyu mtu...
otherwise hii decision waliyoichukua ni nzuri for both of them,
damage ilikuwa kubwa kiasi cha kuwa ngumu ku repair!!
mnaosema watoto,wengi ughaibuni wamelelewa na divorced parents,
kinachofuata hapo ni kugawanya masaa ya kulea ili watoto wapate muda wa kuwa na wazazi wote wawili...
ni njia nzuri zaidi ya kulea kuliko kuwalea in unhappy environment/home!:A S 100:
......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.
Huyu mwanamke mimi namuona ni hatari na ni mfanyabiashara zaidi. Wasingeweza kushindwa kusuluhisha hii issue ni ya kawaida kwenye ndoa. Anachohitaji lady ni mshiko wake tu baada ya kuachana. Pole sana Tiger!
mwenyewe nashangaa nini kimewasibu...ama mwanamke amelazimishwa na ndugu ...kizazi cha leo mtu anakiri amekosea na kuomba msamaha kwa majuto lakini bado mtu anakuwa na roho ngumu..
Nimesikitika kama mie vile
Jamani mnaoongelea kusamehe, mnajua kusamehe kuna maana gani?
Kumsamahe mtu ana GF kama 12 wanaojulikana, wasiojulikana je? huyu hata anampenda mkewe kweli kwa mapenzi ya dhati?
Kwanini alioa basi? nadhani aliamua kuishi na mkewe kama pambo tu kwa sababu kamzalia watoto. Mwacheni akae single aendeleze ukware wake, tena aikae na hao watoto atawafundisha tabia mbaya.
Mnaosema angemsamehe, ninyi mnaweza kusamehe spouses wenu walio cheat anagalau 5 times tu basi?????
BJ,
I read you. But for sure, there is one couple I admire in this world... Bill and Hillary... Hillary came strong to support her husband in the Lewinsky scandal. That is what true love means.. Mtoto akinyea kiganja unakikata wakati unampenda mtoto? La hasha, unaosha maisha yanakwenda mbele. Kama ndugu yako mliyoshiriki naye nasaba akikukosea na undugu unaisha hakuna kumsamehe? la hasha utamsemehe tu. The same kwa rafiki kama spouse ikitokea amekosea na akakiri na kuomba msamaha kwanini usisamehe na kuanza ukurusa mpya? hii inawezekana lakini inahitaji Roho ya Imani iwe ndani ya mtu.
Raising kids with parents in separation/divorce!! Not an easy life for the parents and kids!! Generally, yes, but practically it is painful hata kama utasema utakuwa huru, mara kujirusha kwa amani na furaha, but watoto wako pale pale na mliungana kwa damu mkawazaa. Elin na Tiger watakumbukia maisha yao ya pamoja kwa maisha yao yote, it is unerasable life history. What is wealth in our lives?? Asikuambie mtu, hawa Tiger na Elin watakuwa na machungu tu, hasa Tiger ambaye for sure he will not be the same in public na golf lake!! Finito!!
WomanOfSubstance THE, masharti yakivunjwa ufanyeje, ulegeze masharti? Na unajuaje hawakuwekeana masharti na yakavunjwa?... kuachana ni suluhisho la muda mfupi lenye mateso ya muda mrefu.Wakati mwingine ni bora hata kupeana msamaha wa masharti kuliko kuachana na mtu ambaye mna watoto pamoja.
Lakini kama kweli Woods katika aliotembea nao, kulikuwa na mwanamke anapenda sana, nadhani na huyu mzungu walikuwa wanaishi kwa kuvumiliana. Ikishafika sehemu mtu ukachanganyikiwa na mwanamke wa nje ya ndoa, hakuna ubushi kuwa tayari ndoa inalazimishwa. Ziko nyingi za namna hii hata hapa bongo ambapo bwana akifika home anaona kama ameingia motoni lakini akiwa bar ni raha mustarehe.