Tiger Woods aachana rasmi na mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiger Woods aachana rasmi na mkewe

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Richard, Aug 23, 2010.

 1. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 7,750
  Likes Received: 3,524
  Trophy Points: 280
  Tiger Woods ameachana rasmi na mkewe Elin Nordegren. Woods ametangaza katika website yake na kusema kwamba ndoa yao na Elin imefikia tamati leo na hukumu imetolewa leo katika mahakama ya kesi za ndoa ilopo Bay County (Florida).

  Katika taarifa yao ya pamoja Tiger na Elin wamesema wanaachana katika majonzi lakini wanatakiana maisha mema ya kila mtu kivyake.

  Kwa habari zaidi tembelea website ya Woods -www.tigerwoods.com, panaposomeka: "Elin Nordegren and Tiger Woods confirmed today that they have divorced"
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,490
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Haya maisha bwana, hivi imekuwa ngumu kabisa kusameheana ili wawatunze watoto wao kama familia moja? Bora uwe single for life!
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  ......Watoto watatunzwa lakini si kuendelea kuishi under the same roof na mume ambaye ni cheater.Nafuu Ellin ameamua kumdivorce Tiger.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,584
  Likes Received: 5,805
  Trophy Points: 280
  Where all the golddiggers at ?
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  I am happy for Mr Tiger Wood! Kuishi na mwanamke anayekupa Xmas **** lazima cheating itakuwepo. Maisha yanaendelea kama kawaida aweke mkazo kwenye golf....this world is full of nice bitches.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,490
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Asante mama nakubali but as for me I believe in change and forgiveness. Siwezi kuubadili ukweli lakini kama wangerudiana ingekuwa bora zaidi ukizingatia kuwa in one way or another we are all not only cheaters but also sinners!
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  ......Wewe najua ni mseja lazima uende kiimani na kidini zaidi ambapo neno msamaha ni kawaida kwenye dini. Wote kweli tuna dhambi, lakini inapokuja kwenye haya mambo ya kucheat kwenye ndoa mhhhh!! Inahitaji moyo kwa kweli.......tena siku hizi na hili gonjwa ni balaa unaweza kuondoka bado mdogo unaacha watoto kisa ulisamehe mume ambaye ni cheater.
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  hapo kubadilika inakuwaga ngumu sana kwa watu wengi pia kusamehe 100% mana doa limeingia tena kama ulikuwa unamwamini mtu kupita maelezo!!!..maisha mafupi kuishi kwa kusononeka na mtu mmoja siku 365..talaka muda mwingine ni suluhisho tosha kupeana nafasi kama amani,mapenzi na uaminifu haviwezi kurudi tena kwenye ndoa!!
  Nimeupenda mtazamo wako lakini, natumai uko hivyo pia kiukweli!!..
   
 9. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <H3>Tiger Woods, wife Elin divorce

  Lawyers confirm the divorce is official nine months after the golfer's SUV crash led to explosive revelations.

  </H3>
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama sikosei nakumbuka mkewe alimsamehe pia Tiger Woods akaomba msamaha public sasa sijui kwanini wameamua kudirvoce or is it because on money cause Tiger Woods is wealthy
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Natamani ningempata mimi huyu mwanaume.... yaani amekiri kunikosea na ameeleza alivyojuta bado nisimsamehe? Labda kama kuna jingine.
  Jamani watoto bado wadogo hawa na ni kweli kwa sio kama huku kwetu kuwa wanawezateseka lakini ile love ya wazazi wawili kwa pamoja inamatter sana.
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Raising kids with parents in separation/divorce!! Not an easy life for the parents and kids!! Generally, yes, but practically it is painful hata kama utasema utakuwa huru, mara kujirusha kwa amani na furaha, but watoto wako pale pale na mliungana kwa damu mkawazaa. Elin na Tiger watakumbukia maisha yao ya pamoja kwa maisha yao yote, it is unerasable life history. What is wealth in our lives?? Asikuambie mtu, hawa Tiger na Elin watakuwa na machungu tu, hasa Tiger ambaye for sure he will not be the same in public na golf lake!! Finito!!
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180

  mwenyewe nashangaa nini kimewasibu...ama mwanamke amelazimishwa na ndugu ...kizazi cha leo mtu anakiri amekosea na kuomba msamaha kwa majuto lakini bado mtu anakuwa na roho ngumu..
  Nimesikitika kama mie vile
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Well inawezekana wakawa wamepush simply because of other reasons and i am sure one of those reasons is money, money is the motive here
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Kweli hata mimi nilitegemea angemsamehe kabisa maana alijuta mno hadi ikabidi akae selo "Rehab". Kwa kizazi hiki si rahisi kuomba msamaha. Nilitegemea angemsamehe just for the sake of their children and marriage. Afadhali angemdai fidia akiwa ndani ya ndoa na nina imani Tiger angekubali kumlipa fidia tena kubwa sana na maisha yangeendelea tu. Du satan is at work demolishing nuclera families, etc, Soooo sad, poor kids.

   
 16. N

  Nanu JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  BJ,
  I read you. But for sure, there is one couple I admire in this world... Bill and Hillary... Hillary came strong to support her husband in the Lewinsky scandal. That is what true love means.. Mtoto akinyea kiganja unakikata wakati unampenda mtoto? La hasha, unaosha maisha yanakwenda mbele. Kama ndugu yako mliyoshiriki naye nasaba akikukosea na undugu unaisha hakuna kumsamehe? la hasha utamsemehe tu. The same kwa rafiki kama spouse ikitokea amekosea na akakiri na kuomba msamaha kwanini usisamehe na kuanza ukurusa mpya? hii inawezekana lakini inahitaji Roho ya Imani iwe ndani ya mtu.
   
 17. minda

  minda JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,069
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  lakini inafanana na ile ya Ashley na Cheryl Cole, kwani inaonekana woods ndiye mwenye matatizo. katika miezi ya hivi karibuni woods alijipa likizo ndefu kwenye mechi zake za gofu ili kumwangilia ndoa yake lakini sasa kama wamefikia hatua hiyo ni wazi huyo bibie atakuwa ameshindwa kumsamee tiger kama cheryl alivyoshindwa kufanya hivyo kwa mumewe, mwana kabumbu ashley cole.
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,421
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  swala halipo katika kusameheana,huyu mwanamke anajua alichompendea tiger wood na anajua kwanini lazima afanye divorce.swala kubwa hapo ni mali ya tiger wood ndio iliyokuwa inamtoa roho huyu bibi.lakini sawa tu haki ya mtu hulipwa hapa hapa duniani.imeniuma sana hii kitu.
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  It's official - Tiger Woods divorce is finalised and could cost him up to $750million

  [​IMG]
  [​IMG]
  End of the affair: The couple's signatures on court papers finalised the end of their marriage
  [​IMG]
  The couple also completed a parenting course as part of their separation

  so sad..
   
 20. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bora huyo mwanamke amekuwa mkweli...
  lets face it,utamsamehe mtu kama amecheat mara moja,
  once hili tendo likijirudia,kusamehe inakuwa ngumu..
  scandal ya tiger iliiibua wanawake si chini ya 12...!!
  utasamehe mtu wa hivi kweli??...labda kama una mapungufu na huamini kabisaaaa kama maisha yatasonga bila ya huyu mtu...
  otherwise hii decision waliyoichukua ni nzuri for both of them,
  damage ilikuwa kubwa kiasi cha kuwa ngumu ku repair!!

  mnaosema watoto,wengi ughaibuni wamelelewa na divorced parents,
  kinachofuata hapo ni kugawanya masaa ya kulea ili watoto wapate muda wa kuwa na wazazi wote wawili...
  ni njia nzuri zaidi ya kulea kuliko kuwalea in unhappy environment/home!:A S 100:
   
Loading...