Tido Muhando atangaza kustaafu Azam Media

Tido Muhando atangaza kustaafu Azam Media

Mimba mlioachiwa na JPM mtajifungua tuu ht kwa lazima
Naona wewe ndo unamimba yake, kwasbb kubambikia huyu jamaa zile kesi hamna asie jua kwamba alilenga kumuumiza na kuua career yake, JPM alikua na roho mbaya ya uuaji ila Mungu akamuwahi
 
Jpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.
Siku zote Bongo watu wenye akili nyingi huwa hawapendwi, kutokana na kuwa na mawazo yao huru.

Zengwe kwa huyu mwamba lilianza enzi za JK. Baada ya kurudishwa nchini na JK huyo huyo kuka kuanzisha TBC kutoka TVT na RTD, mwaka 2010 aliendesha mdahalo huru wa ubunhe na Urais kupitia TBC!! (Si alifikiri Bongo nibkama Ulaya!!)

Kilichotokea baada ya ule uchaguzi mkuu ni zengwe la kuondolewa pale TBC. Na hii ni baada ya tu huo uchaguzi ulioisadia Chadema kupata wabunge wengi na pia kukubalika na wananchi walio wengi kupitia midahalo ya usawa iliyoendeshwa na Mkurugenzi mwenyewe Tido Mhando.

All in all, Azam Media walilamba dume kumchukua huyu mtaalam wa habari na mawasiliano. Matunda yake yanaonekana, ingawa na Azam yenyewe nayo bado ina changamoto zake za hapa na pale.
 
Nitamkumbuka sana huyu mzee wakati yuko TBC kwenye uchaguzi wa 2010 kulikuwa na kipindi kinaitwa HARAKATI MAJIMBONI wanaitwa wagombea wa Ubunge vyama vyote kumwaga sera mbele ya wananchi wa Jimbo husika huku wengine tunasikiliza redioni. (Nilikuwa darasa la 5 nakumbuka wanafunzi wa SAUT-Mwanza walimbana maswali mgombea wa CCM Jimbo la Nyamagana)
Nasikia hiki kipindi ndio kilimuondoa mzee pale TBC.
Yaani ulikuwa darsa la tano kijana alfu unashinda huku kutukana baba zako mwaka huo baba ako nilikuwa 3rd yrs bangolore University
 
Kesi gani alikuwa nazo Tido wakati wa Jpm
Naomba mfano nmoja
Kulikuwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka kwa kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya tsh. Milioni 800!!ila tuliosomea cuba tulijua kwanini jpm, aliliibua hilo!!
 
Back
Top Bottom