CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 915
Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media Bw.Tido ametangaza kustaafu utumishi wa Media.Tumtakie kila la kheri nguli huyu.
Jpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media Bw.Tido ametangaza kustaafu utumishi wa Media.Tumtakie kila la kheri nguli huyu.
Jk ndio alimuondoa TBCJpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.
Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media Bw.Tido ametangaza kustaafu utumishi wa Media.Tumtakie kila la kheri nguli huyu.
swahiba wangu mwabulambo ameyatimba safari hii.
naona 2023 inaisha vibaya kwa baadhi ya wadau wa sector ya media
leo nikiwa viunga vya azamtv tabata nilipishana na bibie sophia mgaza, uso wake ulikuwa umejaa unyonge sana mpaka nikamuonea huruma.
ifahamike tu kwa sasa azam media ipo chini ya uongozi wa kijana machachari patrick kahemele baada ya mzee tido mhando kujiandaa kustaafu mwishoni mwa mwaka huu.
kwa maana hiyo sidhani kama patrick ataacha hili lipite hivihivi bila kuwawajibisha wanaotuhumiwa. mda ni rafiki mzuri, tusubiri kuona kile kitakachojiri.
Acha kumsingizia magufuli huyu aliondolewa TBC wakati wa JK.Jpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.
Fafanua mkuuJpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.
Nguli my foot!Tumtakie kila la kheri nguli huyu.
Kikeke hamna kitu mule...Kikeke ndo apewe hapo. Inshallah
Sio JPM , Ni Maropes (old) kipindi akiwa sec gen. Mhando aliwapa chadema airtime tbc wakati Maropes alidhani TBC Ni chombo Cha CCM hivyo wapinzani hawaruhusiwi kukitumia.Jpm alimtesa sanaa huyu jamaa ila Mungu yupo.
All the best TidoMkurugenzi Mkuu wa Azam Media Bw.Tido ametangaza kustaafu utumishi wa Media.Tumtakie kila la kheri nguli huyu.
Dah!Nguli my foot!
Umetusaidia nini unguli wa Tido Mhando ?
Huyu nae alienda BBC ?
Akarudi kama alivyoondoka.... I guess ukishaanzia kazi third world huwezi badilika....
Channel 290 sio Kwamba kuitizama ndio uzalendo wenyewe [emoji2539]Sio JPM , Ni Maropes (old) kipindi akiwa sec gen. Mhando aliwapa chadema airtime tbc wakati Maropes alidhani TBC Ni chombo Cha CCM hivyo wapinzani hawaruhusiwi kukitumia.
Mhando alifurushwa hata kabla jpm hajaingia madarakani.
Ndio tbc ikarudi kwenye hadhi yake ya kuwa tiivii isiyo na mvuto Utadhani TTCL.
MIMI NATUMIA DSTV SIDHANI KAMA TBC IPO KWENYE KISIMBUSI CHA DSTV.
Unajua elimu ya kikeke? Certificate ya kilimo.Kikeke ndo apewe hapo. Inshallah
Ulikuwa nae UK?!!Unajua elimu ya kikeke? Certificate ya kilimo.
Kipaji chake ni kutangaza tuu.
MCHAKATO MAJIMBONINitamkumbuka sana huyu mzee wakati yuko TBC kwenye uchaguzi wa 2010 kulikuwa na kipindi kinaitwa HARAKATI MAJIMBONI wanaitwa wagombea wa Ubunge vyama vyote kumwaga sera mbele ya wananchi wa Jimbo husika huku wengine tunasikiliza redioni. (Nilikuwa darasa la 5 nakumbuka wanafunzi wa SAUT-Mwanza walimbana maswali mgombea wa CCM Jimbo la Nyamagana)
Nasikia hiki kipindi ndio kilimuondoa mzee pale TBC.
Kikeke hana akili.... Ni mjanja mjanja tuKikeke ndo apewe hapo. Inshallah