Tido Mhando ameteuliwa kuwa kaimu-Mkurugenzi mtendaji, Uhai Production Ltd (Azam)

Huyu mgosi alidanganywa sana na ccm akawachangia kuwatangaza wakamshawishi arudi home atakuwa kibosile kweli alifanya hivyo sasa yeye ni mtu wa kusimamia kaziyake bila kutetereka hapo wakakosana na chama kwa kuwa walitaka upendeleo sasa alipokosea miaka yote hiyo ma uzoef huo kwa nini asingefungua radio na tv ya kwake?bado anataka kuajiriwa jamani?miaka yote hyo ulaya no mtaji? huyu hakujipanga kabisa yani hapo nampa polesana
alitakiwa awe na media yake au chuo chake ona sasa anahangaika tabutupu.
 
Haka kanchi kanachukia kuongozwa na watu wenye uwezo,weledi na elimu ya kutosha.Tido kafanya vizuri BBC kaja TBC baada ya kuipaisha kapigwa zengwe,rudi kwa Omary Nundu,njoo kwa kagasheki malizia na kwa Prof Muhongo.tutaendelea kuwa nyuma sababu ya kuwapiga vita wenye uwezo.siku mimi nikifanikiwa kimataifa hata mje nchi nzima mnipigie magoti nirudi nyumbani kusaidia ujenzi wa taifa sitokubali kamwe.watu na CV zao za kimataifa wameishia kushushiwa heshima zao tu
Umesema kweli kabisa, ukitaka kudumu kuwa zako kama mary nagu,hawa ghasia,makame mbarawa,lazaro nyalandu maisha yako yanakuwa swafiii
 
Haka kanchi kanachukia kuongozwa na watu wenye uwezo,weledi na elimu ya kutosha.Tido kafanya vizuri BBC kaja TBC baada ya kuipaisha kapigwa zengwe,rudi kwa Omary Nundu,njoo kwa kagasheki malizia na kwa Prof Muhongo.tutaendelea kuwa nyuma sababu ya kuwapiga vita wenye uwezo.siku mimi nikifanikiwa kimataifa hata mje nchi nzima mnipigie magoti nirudi nyumbani kusaidia ujenzi wa taifa sitokubali kamwe.watu na CV zao za kimataifa wameishia kushushiwa heshima zao tu
naomba utambue ubora sumu yake tone la uovu, muhongo pamoja na ubora wake unaoutambua wewe uovu tunaoutambua sisi ndio uliomdondosha au utakaomdondosha! nasikitika wewe kumweka kundi moja na tido!!
 
wafahamu analipwa kiasi gani? kila mtu ana ridhiko na inaonesha ridhiko la tido lipo kwenye kuviendeleza na kuviimarisha na si kuanzisha!
 
Haka kanchi kanachukia kuongozwa na watu wenye uwezo,weledi na elimu ya kutosha.Tido kafanya vizuri BBC kaja TBC baada ya kuipaisha kapigwa zengwe,rudi kwa Omary Nundu,njoo kwa kagasheki malizia na kwa Prof Muhongo.tutaendelea kuwa nyuma sababu ya kuwapiga vita wenye uwezo.siku mimi nikifanikiwa kimataifa hata mje nchi nzima mnipigie magoti nirudi nyumbani kusaidia ujenzi wa taifa sitokubali kamwe.watu na CV zao za kimataifa wameishia kushushiwa heshima zao tu
CV za kimataifa my foot.... Na wakina Tibaijuka wako na Migiro
 
Tido alistaafu bbc baada yakufikisha miaka 60 na sio kwamba alikatisha mkataba ili arudi nyumbani kujiunga na tbc.
 
Kwa leval aliyonayo tido alitakiwa kuwa na midia house yake na kuajiri siyo kumbizana na vijana kwenye kutafuta ajira.
 
Back
Top Bottom