Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Kwa aliyeangalia Taarifa ya habari ya jana ya TBC! ya saa mbili na saa nne usiku, basi moja kwa moja atakubaliana na mimi kuwa TIDO MHANDO, ana kesi ya kujibu, Tido ana kesi kesi ya kujibhu ambayo imefanana sana na ile ya Mramba, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA,
Matumizi mabaya ya Madaraka sio lazima kuiba pesa bali hata kuwanyima raia haki nzao wanazostahili, kitendo cha Tido kuamua kuwa Polisi, kuwa Tume ya Uchaguizi, kuwa mkurugenzi wa MAwasiliano na kuwa waziri wa habari kwa kweli ni kitendo cha kuvuka mipaka ya kazi yake, kwa maana hiyo Tido ana kesi ya kujibu
tatizo la msktaki mkuu (JK) wa hizi kesi yeye ndio anafaidika na haya anayoyafanya Tido
Viongozi wa dini ndio pekee wanaoweza kuliongelea hili na labda wakasikiwa, lakini kwa MUfti Mkuu sheikh Simba sidhani kama ataweza kuliomngelea hili, mara nyingi yuko kimya, Msemaji Mkubwa kwa haya mambo ni Krd PENGO, lakini na yeye atakapoliongea tu moja kwa moja litaingia kwenye Ukatoliki
Tido ana kesi ya kujibu,
hapa labda nguvu ya umma itumike kumwadabisha
ama TINDU na MArando wamfungulie kesi ya MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA