Ticket Air Tanzania ni Gandamizi

Ticket Air Tanzania ni Gandamizi

Yaani ikiwa ndege tu hawasikii wala hawaambiwi hapa kwenda Cape Town tena ticket ukakate pale pale na ndege sio ya kusubiri utaambiwa rand chache tu ila toka Daslm kwenda sijui Songea Ticket moja ni sawa na ukakata Malawi air ukashuka Lusaka au Lilongwe ni kama wamerogwa hao jamaa..
Maskini siku zote anaamini kuuza bidhaa kwa bei kubwa ndio utajiei
 
Back
Top Bottom