Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,027
- 9,912
Tiba ya asili imeendelea kuwasaidia walio wengi nchini Tanzania ambapo shirika la afya ulimwenguni WHO linakadiria kuwa zaidi ya asilimia themanini ya watu kutoka katika mataifa yanayoendelea wanatumia tiba asilia katika kukabiliana na maradhi ili kupata ahueni ya uponyaji.
Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali inaonesha tiba asili inatoa mchango wa zaidi ya sitini katika uga wa matibabu huku dawa zilizo sajiliwa na baraza la tiba asili zikiwa ni 65 tu
Mwaka uliopita Serikali iliidhinisha dawa tano za asili kutumika baada yakufanya utafiti na kugungua dawa hizo hazina kemikali zenye adhari kwa binadamu ikiwemo dawa iliyopata umaarufu ya ujana ambayo inatibu tatizo la nguvu za kiume.
Serikali imeendelea kusajili vituo vinavyotoa tiba asili, wataalamu ili kuleta tija katika sekta ya tiba asili kuwa na mashiko.
Tiba asili imekuwa mkombozi mkubwa hasa katika maeneo ya vijijini wengi wanasema ni kwasababu ya gharama nafuu na urahisi kupatikana
Chanzo: BBC Swahili