Tiba za Asili zinachangia 65% ya tiba za watanzania

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,862
Tiba ya asili imeendelea kuwasaidia walio wengi nchini Tanzania ambapo shirika la afya ulimwenguni WHO linakadiria kuwa zaidi ya asilimia themanini ya watu kutoka katika mataifa yanayoendelea wanatumia tiba asilia katika kukabiliana na maradhi ili kupata ahueni ya uponyaji.

Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali inaonesha tiba asili inatoa mchango wa zaidi ya sitini katika uga wa matibabu huku dawa zilizo sajiliwa na baraza la tiba asili zikiwa ni 65 tu

Mwaka uliopita Serikali iliidhinisha dawa tano za asili kutumika baada yakufanya utafiti na kugungua dawa hizo hazina kemikali zenye adhari kwa binadamu ikiwemo dawa iliyopata umaarufu ya ujana ambayo inatibu tatizo la nguvu za kiume.

Serikali imeendelea kusajili vituo vinavyotoa tiba asili, wataalamu ili kuleta tija katika sekta ya tiba asili kuwa na mashiko.
Tiba asili imekuwa mkombozi mkubwa hasa katika maeneo ya vijijini wengi wanasema ni kwasababu ya gharama nafuu na urahisi kupatikana

Chanzo: BBC Swahili
 
Mim nina tiba kiboko yabawasir ni kupaka natafuta conection mwenye conection kali tufanye biashara ntampa sample bure
 
Tiba ya asili imeendelea kuwasaidia walio wengi nchini Tanzania ambapo shirika la afya ulimwenguni WHO linakadiria kuwa zaidi ya asilimia themanini ya watu kutoka katika mataifa yanayoendelea wanatumia tiba asilia katika kukabiliana na maradhi ili kupata ahueni ya uponyaji.

Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali inaonesha tiba asili inatoa mchango wa zaidi ya sitini katika uga wa matibabu huku dawa zilizo sajiliwa na baraza la tiba asili zikiwa ni 65 tu

Mwaka uliopita Serikali iliidhinisha dawa tano za asili kutumika baada yakufanya utafiti na kugungua dawa hizo hazina kemikali zenye adhari kwa binadamu ikiwemo dawa iliyopata umaarufu ya ujana ambayo inatibu tatizo la nguvu za kiume.

Serikali imeendelea kusajili vituo vinavyotoa tiba asili, wataalamu ili kuleta tija katika sekta ya tiba asili kuwa na mashiko.
Tiba asili imekuwa mkombozi mkubwa hasa katika maeneo ya vijijini wengi wanasema ni kwasababu ya gharama nafuu na urahisi kupatikana

Chanzo: BBC Swahili

Ndiyo tiba za asili ni kiboko,kuna tiba lishe inaitwa ag cera imewasaidia watu wengi maradhi ya bawasiri,tez dume,kisukari,presha,vidonda vya tumbo ,homa ya ini,saratan Aina zote,kupoteza kumbukumbu,uvimbe tumboni(fibroid) nk
 
Hiyo moja ndiyo yatibu maradhi yote hayo?
 
Back
Top Bottom