Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Ninaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika kuponyesha magonjwa mbalimbali.
Sasa tunaomba uthibitisho wa ugonjwa gani wadau wetu walikuwa nayo na tiba waliyotumia ikawaponyesha salama salimini. Hii itatusaidia kutafuta tiba sahihi kunatokana na magonjwa mengi ambayo yanaibuka mara kwa mara.
Taja ugonjwa na tiba iliyokuponyesha hata ikiwezekana na daktari husika au dawa iliyokuponyesha.
Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena​