Tiba ya Mitishamba versus Hospitali

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
0
Ninaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika kuponyesha magonjwa mbalimbali.

Sasa tunaomba uthibitisho wa ugonjwa gani wadau wetu walikuwa nayo na tiba waliyotumia ikawaponyesha salama salimini. Hii itatusaidia kutafuta tiba sahihi kunatokana na magonjwa mengi ambayo yanaibuka mara kwa mara.

Taja ugonjwa na tiba iliyokuponyesha hata ikiwezekana na daktari husika au dawa iliyokuponyesha.

Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena​
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000

Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena
Mimi ni

mmojawapo nimewaponyesha wengi kwa dawa zangu za mitishamba siwezi kuzitaja hapa. Ila

ikitokea mtu anaumwa akinijia kwangu mimi kitu cha kwanza huwa ninamuuliza umekwenda

hospitali? je umetibiwa huko Hospitali hujapona? akinithibitishia kuwa hajapona na amemaliza

vipimo vyota vya Hospitali ndio ninaanza kumtibia kwa dawa zangu za Tiba Mbadala nimesha

watibu wenye matatizo ya figo, vidonda vya tumbo, Hepatit B, Kansa ya Kizazi, kunuka

mdomo, maradhi ya Presha, ugonjwa wa kisukari, Malaria, gesi tumboni, kichefu chefu,

kujisikia kutapika, kutopata mimba, maradhi ya Pumu,Maradhi ya ugonjwa Kifafa, Kupooza

upande mmoja wa uso,Maradhi ya kiharusi, kipanda uso, maumiu ya tumbo, ugonjwa wa

wasiwasi na maradhi ya mtu kuwa na jini mahaba pepo mchafu,Maradhi ya UTI,Maradhi ya Vidonda vya

koo Kupunguwa mtu kitambi tumbo

na unene na Dawa ya kuongeza Nguvu za kiume na dawa ya kuongeza uume kuwa mkubwa.

Hayo ni baadhi ya maradhi niliyo wahi kuyatibia na watu wamepona na unaweza Kunitafuta
kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

DAWA ZANGU NINAZO TUMIA HIZO HAPO

CHINI KWENYE PICHA. 

Attachments

  • stock-photo-large-chinese-herbal-medicine-selection-in-wooden-bowls-over-papyrus-background-1704.jpg
    File size
    67.2 KB
    Views
    654

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
0
Hahahaaaaaaa..
Haya bwana mzizimkavu I respect you from your valuable contribution to this forum......hope watakutafuta wenye matatizo hapo juu same applied to me
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
Mzizi Mkavu nisaidie dawa Asili ya Typhoid?
Dawa ya Asili ya kutibu Typhoid chukua mbegu za Mpapai zikaushe kisha uzisage ziwe unga, na tumia kijiko cha unga wake kwa kuchanganya na maji
mara 3 kwa siku 3. au siku 7 utapona.
 
hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
Ninaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika kuponyesha magonjwa mbalimbali.

Sasa tunaomba uthibitisho wa ugonjwa gani wadau wetu walikuwa nayo na tiba waliyotumia ikawaponyesha salama salimini. Hii itatusaidia kutafuta tiba sahihi kunatokana na magonjwa mengi ambayo yanaibuka mara kwa mara.

Taja ugonjwa na tiba iliyokuponyesha hata ikiwezekana na daktari husika au dawa iliyokuponyesha.

Mfano: malaria sugu nikatumia mwarobaini nimepona nina miaka saba nadunda sijui malaria tena​

Mkuu, nianze kwa kukusahihisha...kitaalamu hakuna kitu tunachokiita Malaria sugu/" Chronic Malaria"...

ingawaje, mtu anaweza kupata Malaria kila mara/ kujirudia rudia kutokana na sababu nyingi, kama vile;

1. Kutopewa dawa fasaha.

2. Kupewa dawa fasaha na kutozingatia matumizi kwa usahihi.

3. Kupewa dawa, kuzingatia matumizi, lakini kuendelea kwa ugonjwa kwa sababu ya vimelea vya wadudu kuwa vingi(kuhitaji dozi zaidi)/uchunguzi zaidi.

4. Kurudi katika mazingira hatarishi mf. Kulala bila chandarua, kutopulizia dawa, kukaa sehemu zenye mazalia ya wadudu, na hasa wengi kuwa sehemu zenye wadudu(mbu) bila vitu vya kuwakinga, mf . sehemu za starehe(kumbi, migawaha n.k)

5. Kuhisi, kila uchovu, kutojisikia vizuri na kuugua ni Malaria, hivyo mtu kuamua kutumia dawa bila kupima(na "asipopona" kuiita Malaria sugu. n.k.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
Nashukuru sana MziziMkavu.
Mkuu boda ukipona usikose kuja kuleta Feedback.

Huwa sina imani na miti shamba, sijui kwanini
Ngojea utakapo Umwa na kwenda hospitali kisha huko hospitali wakwambie hakuna Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako kisha ndipo utakapo amini kuwa Dawa za mitishamba zinafanya kazi utakuja hapa hapa kushitakia maradhi yako ndipo utakapo amini kuwa kuna dawa za mitishamba tena zinasaidia .
 
mankachara

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
5,884
2,000
Dawa za mitishamba naziamini kuliko za hospitali

Kuna kipindi nilifanya mapele kwenye uso wote sijui hata nilifanya nini, nilikwenda spitali na nikapewa dawa na kutumia kwa muda wa siku nne lakini hakukua na dalili ya kupoa. Siku iliyofuata mother akaja na dawa ya mitishamba inayotengenezwa kwa kutumia miwa, mimi mwenyewe hata sikujua vipi aliitengeneza lakini nilihitajika niwe nakunywa ile dawa na yale magamba ya miwa niwe nachanganya kwenye maji ya moto halafu nakoga, dah mungu mkubwa baada ya siku tatu mapele yote mwilini yameshaondoka. Hapo ndo nilipoamini kama hawa watu wa mitishamba hawakurupuki
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,420
2,000
Mkuu boda ukipona usikose kuja kuleta Feedback.

Ngojea utakapo Umwa na kwenda hospitali kisha huko hospitali wakwambie hakuna Dawa ya kuweza kukutibu maradhi yako kisha ndipo utakapo amini kuwa Dawa za mitishamba zinafanya kazi utakuja hapa hapa kushitakia maradhi yako ndipo utakapo amini kuwa kuna dawa za mitishamba tena zinasaidia .

Ndo hyo siku naisubiria mkuu
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
hivi kitunguu swaumu plus tangawizi na mdalasini vitaondoa huku kuumwa kichwa kila jioni?

Vipi nikichanganya na mwarobaini sitopona kweli?
Kuumwa na kichwa kuna mambo mengi

yanayosababisha inategemea wewe unamuwa na kichwa kipi? eidha kuumwa kwa kichwa kuna

sababishwa na upungufu wa damu au damu kuwa nyingi, Mawazo, ukosefu wa Usingizi, ukosefu

wa kupata choo laini, Stress,High Blood Pressure Na maradhi mengine mengi tu. Sasa wewe

unaumwa na kichwa lazima ujuwe kwa sababu gani kichwa kinauma kila jioni? Umekwenda

kupima Hospitali kujuwa unaumwa na kichwa kila jioni kwa sababu gani? Kuhusu Dawa Kitunguu

Saumu kitaweza kukusaidia ila siwezi kukupa ushauri ukitumie wakati sijajuwa kuumwa kwako

na kichwa kunasababishwa na kitu gani? Dawa nitakayo kupa ni hii hapa kila unapo amka

Asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu chemsha maji ya kunywa yawe Uvuguvugu yasiwe ya moto wala

baridi kunywa kabla ya kula kitu glasi 2 kisha nenda chooni ukitoka chooni kunywa

tena Maji ya Uvuguvugu glasi 1 kisha kaa bila kula kitu kwa muda wa saa 1 ipite kisha baada ya hapo

unaweza kula . Na wakati wa mchana kabla ya kula kitu kunywa tena Maji ya Uvuguvugu

glasi 2 kisha kaa baada ya saa 1 unaweza kula na wakati wa usiku kunywa tena glasi 2 kabla ya kula kitu

kisha kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula na wakati wa usiku kwenda kulala

kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisaha lala fanya hivyo kila siku kichwa chako kitapona inshallah. Dawa

ingine hii hapa Ziba tundu yako ya pua ya upande wa kushoto kwa muda wa dakika 5 upumue tundu moja

ya upande wa kulia kisha baada ya dakika 5 acha utapona .

Angalia hapa Maradhi ya Kichwa na Dalili zake:

AINA KUMI NA MBILI ZA KUUMWA NA KICHWA

Kuumwa nakichwa kumegawanyka sehemu kuu nyingi sana japo kuwa 1% yake ni hashirio la matatizo ya kiafya ambayo yameadvance. Kama vile concussion of brain,meningitis,encephaliti, na stroke. Kuumwa na kichwa pia inawezatokana na matatizo ya taya, meno au hata kula vitu vya baridi zaidi. Vyakula vyenye nitrite au monosodium glutamate.
Sehemu ambazo huuma ni kama ifuatavyo.mfumo wa fahamu ambao upo kwenye fuvu la kichwa.
Baadhi ya neva za fahamu zizlizoko usoni

Misuli ya kichwani
Mishipa inayopatikana kwenye fuvu la kichwana chini ya ubongo kuna mifumo ya fahamu yenye hisia. Kumbuka fuvu na tishuu za ubongo kwa zenyewe haziumi kwani hazna mifumo ya fahamu ambayo inahisia.
Mambo haya 12 nayo yanahusika sana.

1:Nervous tension headaches;

Ni maumivu ya kichwa endelevu upande mmoja au pande zote za misuli ya shingo na upande wa juu wa mgongo,kuumwa na kichwa pamoja na kusinzia. Tumia vitamin b2 na c , ounguza au acha matumizi ya sukari,kahawa,chakula chenye kukusababishia mzio,misongo ya mawazo na ufanye mazoezi yakutosha.

2: Cluster headaches;
Kichwa kuuma haswa upande mmoja wa kichwa kwa maumivu makali, machozi humtoka mtu na makamasi kwa mbali. Kitu cha kwanza ni kutumia chakula chenye protein ya kutosha, epukana na chakula chenye mzio kwako.

3: Hangover headaches;
Hii ni hali ya kichwa kuuma kwa sababu ya matumizi makubwa ya vinywaji vikali haswa pombe. Weka barafu chini ya kichwa yaani maeneo ya kichogoni au shingoni,kunywa maji mengi na juice ya matunda freshi na uache pombe.

4: Exertion headaches;
Hutokea pale ambapo mwili utatumika sana na haswa kwenye ngono. Weka barafu linalouma, kula mlo kamili na usifanye mazoezi.

5: Caffein headaches;
Hali hii hutokea pale ambapo umeacha matumizi makubwa sana ya kahawa kwa ghafla. Kunywa kiasi kidogo cha kahawa kuondoa maumivu na upunguze matumizi kidogokodogo mpaka utakapo acha kabisa.

6: Sinus headaches;

Maumivu haya huanzia upande wa kulia na kushoto wa pua na kupanda mpaka kichwani. Kula vitamini C kwa wingi na umuone mtaalamu wa afya maana saa zingine hii utkana na maambukizi.

7: Bilious headaches;
Kichwa na macho huuma haswa kipanda uso na husababishwa na kula sana, kula vibaya, kutofanya mazoezi na kukosa choo. Fanya mazoezi na kunywa maji yakutosha na kasha fanya enema.

8: Hunger headaches;
Maumivu ya kichwa ambaya husababishwa na kutokula kwa muda. Kula chochote ilimradi kiwe ni protein au carbohydrates .

9: Eyes ram headaches
Haya ni maumivu yanayotokea kwenye macho na wengi hudhani labda wameangalia vibaya japo saa zingine inaweza kuwa sababu. lakini chanzo chake haswa ni ubongo kufanya kazi kupita kiasi. Badili mtindo wa maisha na kama ni mtumiaji wa miwani ni vyema ukamuana mtaalamu aangalie kama lensi zimepotea nuru au la.

10: Menstrual headaches;

Hali hii hutokea kwa kina mama kipindi cha yai kupevuka. Hutokana na mabadiliko ya hormone, muone mtaalamu wa afya.

11: Arthritis headaches;
Haya ni maumivu ya kichwa yanayosikika mpaka shingoni na saa zingine mpaka mgongoni ambayo husababisha maumivu haswa unapozidisha mwendo au shughuli. Kitu kikubwa ni kutibu ugonjwa unaosababisha hali hiyo.

12: Hypertension headaches;
Ni maumivu ya kichwa chote, mwendo mkubwa pia huongeza maumivu. Hali hii husababishwa na shinikizo la damu. Tibu au pambana kushusha shinikizo la damu na halii itaisha bila shaka. chanzo.
Topic: Muujiza ya matibabu kwa maji ya moto kunywa
 
msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,833
2,000
Mimi ni

mmojawapo nimewaponyesha wengi kwa dawa zangu za mitishamba siwezi kuzitaja hapa. Ila

ikitokea mtu anaumwa akinijia kwangu mimi kitu cha kwanza huwa ninamuuliza umekwenda

hospitali? je umetibiwa huko Hospitali hujapona? akinithibitishia kuwa hajapona na amemaliza

vipimo vyota vya Hospitali ndio ninaanza kumtibia kwa dawa zangu za Tiba Mbadala nimesha

watibu wenye matatizo ya figo, vidonda vya tumbo, Hepatit B, Kansa ya Kizazi, kunuka

mdomo, maradhi ya Presha, ugonjwa wa kisukari, Malaria, gesi tumboni, kichefu chefu,

kujisikia kutapika, kutopata mimba, maradhi ya Pumu,Maradhi ya ugonjwa Kifafa, Kupooza

upande mmoja wa uso,Maradhi ya kiharusi, kipanda uso, maumiu ya tumbo, ugonjwa wa

wasiwasi na maradhi ya mtu kuwa na jini mahaba pepo mchafu,Maradhi ya UTI,Maradhi ya Vidonda vya

koo Kupunguwa mtu kitambi tumbo

na unene na Dawa ya kuongeza Nguvu za kiume na dawa ya kuongeza uume kuwa mkubwa.

Hayo ni baadhi ya maradhi niliyo wahi kuyatibia na watu wamepona na unaweza kunitembelea

Blog yangu kwa kubonyeza hapa Mzizi Mkavu DAWA ZANGU NINAZO TUMIA HIZO HAPO

CHINI KWENYE PICHA.Kuna mtu alisumbuka sana na ugonjwa wa michubuko sehemu ya Haja kubwa ametibiwa sana Hospital lakini wapi... alipotumia mafuta ya nyonyo kupakaa wiki haikwisha akapona.. Mzizi Mkavu chukua hiyo uwasaidie watu mafuta ya Nyonyo au mbarika yanatibu fissure..... na vioteo sehemu hizo ... ni PM
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
Kuna mtu alisumbuka sana na ugonjwa wa michubuko sehemu ya Haja kubwa ametibiwa sana Hospital lakini wapi... alipotumia mafuta ya nyonyo kupakaa wiki haikwisha akapona.. Mzizi Mkavu chukua hiyo uwasaidie watu mafuta ya Nyonyo au mbarika yanatibu fissure..... na vioteo sehemu hizo ... ni PM
Mimi ni Mtaalam siwezi kuku PM wewe labda wewe uni PM mimi hebu tembelea Blog yangu bonyeza hapa Mzizi Mkavu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom