Tiba Ya Kutopenda!

Mkubwa kama vipi mrudie mapemaa mzee, maana ukichelewa tu wale waliokuwa wanajiuliza nitampata lini watakuwa wameshaona kivuno.......utateseka mzee na kama unavyojua kipendacho roho tena:frusty:

Kama Jamaa juzi Kwenye Jukwaa La Biashara,Alisema Wagirikit Walichoma Nyenzo Zote Za Usafiri Ili Kuongeza Morali Ya Kusonga Mbele...Nami Kwa Hasira 2livyoachana, Nilifuta Mawasiliano Na Picha Zake Kwa simu Yangu!
 
kama nataka kukuonea huruma hivi.
Kua mwanaume bana,mwanaume hapendagi hivo.
Labda yeye kesha kuwahi kwa waganga,ukienda huko una haribu zaidi.

Nenda kwa YESU,yeye ana funika yote na hakuna wa kumzidi.

Nimeomba Sana Kwa Mungu Ndugu,Ila Ari Haibadiriki,
Sasa Nafikiria Njia Nyingine!
 
yaani unamuacha mtu kwa sababu ya suruali?

Umemkuta mtu maisha yake yote yuko hivyo leo aache kila kitu kwa sababu gani?

Wewe umejitoa vipi na umeacha yepi kwa ajili yake?

Nahusi kama vile umemuona juyo ninti ni mali yako, utakachosema na iwe hivyo....

Mapenzi ni kujitoa kwa wote wawili, umkubali mtu jinsi alivyo na suruali zake (kwanza wakati unamtongoza si ulijua anavaa suruali na anakunywa pombe?) na mapingufu yake, ulipaswa kumuomba apunguze na yeye angepunguza kwa muda wake (hivyo kama ulikuwa unampenda kwa dhati ungevumilia)

kuwa mwanaume hakuna maana kuwa una remote ya kumcontrol mwenzio, ushauri wangu achana na mapenzi mpaka pale utakapoona umekomaa kuweza kuhandle relationship, la sivyo utasumbua wadada wa watu........
 
kila Mtu Anakila Hasichopenda Mpenzi Wake Afanye...Kuna Wengne Hawapendi Wapenzi Wao Wavae Hereni N.k
Mimi Sipendi Mpenzi Wangu Avae Suruali Kwani Ilizidisha Chachu Ktk Muonekano Wa Maungo Yake!

wakati unamtongoza hakuwa anavaa suruali? Inakuaje na yeye akikwambia usivae suruali?
 
Hahahaaaaa! Mfumo dume nao! Inaonekana kafungashia sana huyo bi dada akivaa suruali roho inakuenda mbio!!!! Kama unataka asievaa suruali, na anaekusikiliza, we nenda katafute KIJIJINI, wa huku mjini, tumeshajichokeaaa longi, UKOLONI MAMBOLEO umetutawala mapaka fikra!!!! Usawa mpaka mavazi!!! Hadi kitandani TUNAWAHI WOMAN ON TOP!!! Ikishindikana tunasettle for 69 position!!! LOL!!!

Shukuru umeishi zama za suruali, manake huko mbeleni wazungu watatembea bila nguo, na huku bongo lazima tuige!!!!

kama kuwa mtumwa wa mazungu kiasi kama hiki sioni haja ya kuendelea kuoa nikukaa biola mke na kama na wewe unatetea kutembea uchi naona kama laana inakukimbilia
 
mbona wacahngiaji wengi mashabikia suruali sana? mimi naona kutokujua maana halisi ya kwa nini hawa wenzetu wanavyaa suruali naomba tu nieleze kwa kifupi: wenzetu wanavaa suruali kwa kulingana na nyakti kwa mfano wakati wa baridi wanavyaa suruali ili kuweka joto mwilini na wakati wa joto wanavaa vipendo kwa sababu wanachubuka sana na miwasho sana sehemu za siri kutokana na joto. alkini kwa joto la bongo na baridi sidahni kama kuna umuhimu wa kuvaa suruali huku joto ni kali sana na baridi ni kali sana wakati mwingine snow inatokea
 
Jichunguze kwanza mwenyewe na unachokiamini kama ndicho kinachoaminiwa na wengi.......kama sivyo wewe ndo uanze kubadilika halafu naye ndo atakusikia.
 
kama kuwa mtumwa wa mazungu kiasi kama hiki sioni haja ya kuendelea kuoa nikukaa biola mke na kama na wewe unatetea kutembea uchi naona kama laana inakukimbilia
USHAMBA MZIGO KWELIKWELI!!!! Ndo maana umekimbiwa! HAHAHAHAAAA!
 
yaani unamuacha mtu kwa sababu ya suruali?

Umemkuta mtu maisha yake yote yuko hivyo leo aache kila kitu kwa sababu gani?

Wewe umejitoa vipi na umeacha yepi kwa ajili yake?

Nahusi kama vile umemuona juyo ninti ni mali yako, utakachosema na iwe hivyo....

Mapenzi ni kujitoa kwa wote wawili, umkubali mtu jinsi alivyo na suruali zake (kwanza wakati unamtongoza si ulijua anavaa suruali na anakunywa pombe?) na mapingufu yake, ulipaswa kumuomba apunguze na yeye angepunguza kwa muda wake (hivyo kama ulikuwa unampenda kwa dhati ungevumilia)

kuwa mwanaume hakuna maana kuwa una remote ya kumcontrol mwenzio, ushauri wangu achana na mapenzi mpaka pale utakapoona umekomaa kuweza kuhandle relationship, la sivyo utasumbua wadada wa watu........

ahsante Kwa Mawazo Yako!
Mimi Huyu Msichana Nilimchagua akiwa Anavaa Sketi Ndefu Wala Kunywa Pombe(Ningemkuta Na Suruali Nisingemsogelea)
Nilikuwa Addicted Na Facebook Lakini Yeye Aliomba Niache Na Nikaacha!
Suala Kubwa Ni Yeye Kutonishrkisha Pindi Anapobadiri Maamuzi Tuliyokubaliana!
 
wakati unamtongoza hakuwa anavaa suruali? Inakuaje na yeye akikwambia usivae suruali?
Nilizidi Kumpenda Kwa Sababu Mavazi Yake Najua Ni Sketi Na Magauni!
nisivae Suruali?... kwa Hyo Nivae sKeti?
Ningemuomba Uchaguzi Unaofaa,Hata Kaptura au Kanzu Poa!Si Nampenda...Kwa Nini Nisimsikilize Kwa Mambo Yasiyo Na Madhala Mabaya Kwangu!!?
 
Kuna tatizo gani na suruali?

Kuhusu hilo la kukusikiliza wewe, je na wewe unamsikiliza? Au ukiwa mwanamke basi hauna mapendeleo yako?
Kama ndivyo basi ndugu yangu utaacha wengi. Mahusiano ni compromise na si amri ya mtu mmoja.

Huyu hajakutana na wengine wasiovaa hata chupi kama ww Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Jichunguze kwanza mwenyewe na unachokiamini kama ndicho kinachoaminiwa na wengi.......kama sivyo wewe ndo uanze kubadilika halafu naye ndo atakusikia.

sawa Mkuu,Ila Kuacha Kuvaa Suruali Au Kumtaarifu Mpenzi Wako Sababu Ya Kuvaa Kile Hasichopenda,Ni Muhimu!
Nimebadika Ila Nipe Mbinu Itakayo Nisaidia Kumhandle Kwa Kile Kizuri ,Ninachomshauri!
 
Back
Top Bottom