Tiba Ya Kutopenda!

Tiba Ya Kutopenda!

Hadi kuvaa suruali akushirikishe!!!dah utaacha wengi!!!huo ndio tunauita udikteta au ubabe ktk mapenzi..yapo ya kukatazana km la pombe
 
Hadi kuvaa suruali akushirikishe!!!dah utaacha wengi!!!huo ndio tunauita udikteta au ubabe ktk mapenzi..yapo ya kukatazana km la pombe

Ni Muhimu Sana Ndugu,Angenitaarifu Angeifanya Cku Yangu Kuwa Yenye Umakini Zaidi Kuhusu Yeye!
 
NAWASHURU NYOTE KWA MAWAZO NA USHAUR WENU
Ila Mpaka Sasa Hakuna Aliyenipa Mbinu Itakayomfanya Anikumbuke Ili Turudiane Nimhandle Na Anisikilize Kile Kizuri Ninachotaka Au Mimi Nimsahau Kabisaaaa!
 
Mbinu tafuta asievaa kbs!!!na umpe condition zako km ataziweza..na kwa ushauri tafuta anayekupenda ww ili umcontroll utakavyo!!!..vinginevyo utakuwa ni wa kulalamika ushirikishwi kila cku!!
 
Mkubwa umetishaaa!

Sishangai sana ulivyokimbiwa, sidhani kama kuna wanawake wengi wanaoweza kustahamili kupangiwa cha kuvaa kila siku.

Ni udhalilishaji wa aina yake
 
Endelea kukasirika kaka.ukitafuta limbwata ukamganda na akaendelea kukutendea yaleyale si utakufa?

Nimejifunza Ndugu Kwani Kwa Sasa nakufa Polepole
Bora Nimrudishe Kuliko Ari Niliyonayo Sasa!
Nipeni Mbinu Wandugu!
 
Mbinu tafuta asievaa kbs!!!na umpe condition zako km ataziweza..na kwa ushauri tafuta anayekupenda ww ili umcontroll utakavyo!!!..vinginevyo utakuwa ni wa kulalamika ushirikishwi kila cku!!

na Yeye Nilimchagua Sababu Sikumkuta Na Suruali!
Mapenzi Ni Maelewano,Angeniambia Kuwa Ameahrisha Ningekuwa Attation!
 
Mkubwa umetishaaa!

Sishangai sana ulivyokimbiwa, sidhani kama kuna wanawake wengi wanaoweza kustahamili kupangiwa cha kuvaa kila siku.

Ni udhalilishaji wa aina yake

Uzalilishaji Kutovaa Suruali Tena Kwa Kuomba?
 
Ni vyema unge mtafuta asiye vaa suruali kuliko kujaribu kumbadilisha aliye anza kuvaa akiwa na wazazi wake hadi akawa mkubwa! Sijui kama unaweza kumkataza kuvaa suruali girlfriend!
Mchovya asali ni ngumu kuacha ni sawa na mnywa pombe tu!
Hili aache ni vyema ukaenda taratibu na kwa hatua!
Nivyema ukajua kuwa kila jini lina mti wake!
 
Uzalilishaji Kutovaa Suruali Tena Kwa Kuomba?

Ndio.

Maana si wote wanaojua kusema vizuri, kwa hiyo it ends up mwanamke anajiona kama mtoto na hana akili ya kujua baya na jema anaejua ni yeye mwanamme tu, amshikie akili.

Ni mwanzo wa mwanamke kujichukia au kukuchukia wewe
 
Duh! Dunia ndo makila kitu,kwani bro hukuwahi kumuuliza kama kuna kitu unayoipenda ye haipendi akakuambia haipo?
 
Ni vyema unge mtafuta asiye vaa suruali kuliko kujaribu kumbadilisha aliye anza kuvaa akiwa na wazazi wake hadi akawa mkubwa! Sijui kama unaweza kumkataza kuvaa suruali girlfriend!
Mchovya asali ni ngumu kuacha ni sawa na mnywa pombe tu!
Hili aache ni vyema ukaenda taratibu na kwa hatua!
Nivyema ukajua kuwa kila jini lina mti wake!

Kama Angekuwa Mvaaji Wa Suruali Wala Nisingethubutu Kumtongoza!
Ishu Hapa Sio Uvaaji, Bali Kutoshirikishana Na Kuelewana Ktk Kilicho Bora!
 
Ndio.

Maana si wote wanaojua kusema vizuri, kwa hiyo it ends up mwanamke anajiona kama mtoto na hana akili ya kujua baya na jema anaejua ni yeye mwanamme tu, amshikie akili.

Ni mwanzo wa mwanamke kujichukia au kukuchukia wewe

hapana Bana ,Mimi Wala Ckuwa Na Upinzani Wa KufikaTULIVYO SASA kama Angenitaarifu!
 
Duh! Dunia ndo makila kitu,kwani bro hukuwahi kumuuliza kama kuna kitu unayoipenda ye haipendi akakuambia haipo?

ndio,Tena Sana Tu!
Akaniambia hamna Na anaridhka Nami Kwani Ndie Chaguo Lake!
Nipeni Mbinu Jamani!
 
hapana Bana ,Mimi Wala Ckuwa Na Upinzani Wa KufikaTULIVYO SASA kama Angenitaarifu!

Sasa na wewe kosa la kutokukutaarifu tu ndo unaachana nae? Ndo maana roho yako inakusuta, kwa sababu unajua kulikuwa na nafasi ya kufikia maelewano
 
hapana Bana ,Mimi Wala Ckuwa Na Upinzani Wa KufikaTULIVYO SASA kama Angenitaarifu!

Majigo,
Nakuomba Njoo Kwangu Utulie na Mimi.
Me Sivaagi Suruali,
Navaaga Magunia na Madabwada tu.

Ila kiukweli ni ngumu sana kwa unayotaka.
Coz kumbuka ameanza vaa tangu hamfahamiani.
Ila yote kwa yote kama Anakulindia Heshima Yako Mbele ya Jamii ya nini Umuache?
Utakuwa kuna Lingine Unatuficha Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona maelezo meng jamani tafadhari!
Hakuna mwenye mbinu ya kumvuta ili turudiane ama nimsahau yeye!?
 
Hahahaaaaa! Mfumo dume nao! Inaonekana kafungashia sana huyo bi dada akivaa suruali roho inakuenda mbio!!!! Kama unataka asievaa suruali, na anaekusikiliza, we nenda katafute KIJIJINI, wa huku mjini, tumeshajichokeaaa longi, UKOLONI MAMBOLEO umetutawala mapaka fikra!!!! Usawa mpaka mavazi!!! Hadi kitandani TUNAWAHI WOMAN ON TOP!!! Ikishindikana tunasettle for 69 position!!! LOL!!!

Shukuru umeishi zama za suruali, manake huko mbeleni wazungu watatembea bila nguo, na huku bongo lazima tuige!!!!

dah this is crazy 69 lolest!
 
Back
Top Bottom