Isaya wa njombe
Senior Member
- Apr 2, 2023
- 181
- 325
Salute. Niende kwenye mada naombeni msaada kama kuna madaktari humu wabobezi ni hivi nasumbuliwa na tatizo LA damu kuzidi niliambiwa hivyo baadae ya kupima niliambiwa ni 17.
Ndugu inanipa shida sana nimeenda Ilala afya center wakaniambia niende mhimbili kwa vipimo zaidi kabla sijaenda mhimbili nilienda hospital ya Bulhan wale walinipima wakasema IPO 16.2 kwa mwanaume haina shida nikapewa dawa za maumivu tu shida.
Kichwa nikaniuma pamoja na kifua kizunguzungu sana jumanne nikaone niende mhimbili nilimweleza Dr wakanipa vipimo Vingi Vingi ilinichukua karbu masaa manne kupata majibu cha kushangaza nikapewa majibu damu iko 17.
Nikapewa dawa za maumivu na dawa flani zinaitwa Loprin nikaambiwa. Nipunguze mbogamboga na nyama pia ikiwezekana nichangie damu niliambiwa nirudi baada ya week 1 lkn naona zile dawa ni kama za kutuliza maumivu tu maana taabu uko pale pale kifua na kizunguzungu bado nimerudi mhimbili nikapewa tu dawa za maumivu kitengo cha kupunguza damu wanasema kwa sababu mi natoa kama tiba lazma niwe na kibali cha Dr kwa sababu sio sehem ya tiba kuipunguza so naomba ushauri.
Je, nikitoa haita leta shida baada ya kutoa au niende Hosp za private kama aga Khan naombeni ushauri maana Nina maumivu makali sana.
Mtanisamehe kwa mwandiko mi ni form four failed, asante.