Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Nimehangaika na ninaendelea kuhangaika tu. Atakuwa amechelewa kunisaidia. Wewe tengeneza mbinguni yako hapahapa duniani basi. Ukishakufa ni kuoza tu. Hakuna watu wameivuruga na kuigawa dunia hii kama YESU na Mtume MOHAMAD S.A.W.Mungu atakusaidia tu ipo siku
.Nimehangaika na ninaendelea kuhangaika tu. Atakuwa amechelewa kunisaidia. Wewe tengeneza mbinguni yako hapahapa duniani basi. Ukishakufa ni kuoza tu. Hakuna watu wameivuruga na kuigawa dunia hii kama YESU na Mtume MOHAMAD S.A.W.
Aisee, wako wengi wenye imani kama yako nao waliingia mkenge!Babu duhu, wenzangu wenye imani tofauti na mimi wameingia mkenge
Hata Osama bin Laden aliua kwa kutumia jina la Mungu na DINI yake. Aliungwa mkono na wengi tu.Sheikh Yahaya alikuwa mnajimu na kutiba wagonjwa na hapohapo mwanazuoni maarufu wa dini ya Kiislamu bado wenye kuamini kuna Mungu hawakuona taabu kwenda kwake bila kujali dini zao ni matokeo hayo hayo tukajikuta tunakwenda tena kwa babu wa dini ya kikristo loliondo kupata tiba kwa jina la Mungu.
Mungu aliumba kifo na kila mwenye pumzi ataonja mauti ni makosa kudhani kuna dawa ya babu itatuepusha na mauti, kama ni hivyo Mungu asingeumba kuugua na hadi kufa..mimi naona suala hapa sio kupona au kufa kwa wagonjwa waliokwenda kwa babu bali ni uhakika wa tiba hiyo na uhusika wa Mungu kwenye tiba hiyo. Walikujaa duniani mitume wa Mungu wakafa ndio itakuwa sisi binadamu tuamini moja kwa moja kuwa Mungu katelemsha dawa hiyo ili tusife au tusiugue............. A BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOO
Nimehangaika na ninaendelea kuhangaika tu. Atakuwa amechelewa kunisaidia. Wewe tengeneza mbinguni yako hapahapa duniani basi. Ukishakufa ni kuoza tu. Hakuna watu wameivuruga na kuigawa dunia hii kama YESU na Mtume MOHAMAD S.A.W.
Sheikh Yahaya alikuwa mnajimu na kutiba wagonjwa na hapohapo mwanazuoni maarufu wa dini ya Kiislamu bado wenye kuamini kuna Mungu hawakuona taabu kwenda kwake bila kujali dini zao ni matokeo hayo hayo tukajikuta tunakwenda tena kwa babu wa dini ya kikristo loliondo kupata tiba kwa jina la Mungu.
Nimehangaika na ninaendelea kuhangaika tu. Atakuwa amechelewa kunisaidia. Wewe tengeneza mbinguni yako hapahapa duniani basi. Ukishakufa ni kuoza tu. Hakuna watu wameivuruga na kuigawa dunia hii kama YESU na Mtume MOHAMAD S.A.W.
"Katengeneze mambo ya nyumbani kwako, maana utakufa leo hii, na hautapona ugonjwa wako" haya ni maneno yaliyoko kwenye maandiko matakatifu ya biblia. sasa huyo jamaa wa tabora gazeti linamnukuu peke yake, watu zaidi ya milioni 20 wameshakunywa kikombe cha babu, inakuwaje gazeti linamnukuu yeye peke yake?
Isije kuwa ni yule jamaa aliyepelekwa na Rostam kupata kikombe na Rostam baadaye akadai dawa ya babu haiponyeshi. Itaponyeshaje wakati bado hajajisafisha kiimani?
Hata Ngurumo ya Upako alipokwenda kunywa ile dawa alikataliwa kunywa kwa kuwa ilionekana hayuko safi!
.
Dini zimechangia sana kuivuruga dunia hilo halina ubishi na baadhi wanatabiri kwamba hata kama Mungu yupo kwa tunaoamini lakini dini zitaendelea kupoteza umaarufu na waumini wa kweli kadri tunia inavyosonga mbele. Dini zimekuwa chanzo cha machafuko, vita, mifarakano na migongano katika jamii kila dini ikijipa haki ya kutawala duniani na pengine kufuta haki ya dini zingine. Sina hakika kama ubnafsi huu ni uumbaji wa Mungu ambaye kama hakufanya makusudi kuumba dini nyingi angeweza kuifanya dunia kuwa ya dini moja bila sisi kuhangaika kwa naiba yake. Mambo haya ndio baadhi ya watu hawaamini kama Mungu yupo na ana nguvu zenye kuweza yote.