Tiba:Nguvu za kiume/ Maumbile Special Thread! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba:Nguvu za kiume/ Maumbile Special Thread!

Discussion in 'JF Doctor' started by GAZETI, Oct 22, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kuwa hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyolichukulia, hii inasababisha thread za hili
  Kuwa nyingi. Si hapa Jf tu, tafuta kwenye Blog mbalimbali utagundua ukubwa wa
  matatizo haya.

  Binafsi napendekeza hii thead iwe sehemu muafaka ya watu kuleta wanayoyafahamu
  juu ya Tiba za Nguvu za kiume na maumbile madogo kama ipo dawa.

  Zipo dawa nyingi za tatizo hili, kwa wale ambao wamewahi kutumia dawa mbalimbali
  si vibaya wakatuletea majina ya dawa hizo jinsi zinavyofanyakazi, upatikanaji wake n.k

  Binafsi nazifahamu dawa kama - RIJALI, KIFARU, KOMBORA, MAAJUNI, SUPER SHAFT,
  KIBOKO, SIMBA n.k. Ni majina yanayovutia na kusisimua kwa mtumiaji lakini sifahamu
  utendaji wa dawa hizo.

  Pia namfahamu mama mmoja ambaye ni mtaalamu wa tiba za asili huyu mama alimtibu
  jamaa mmoja ambaye alikuwa hafanyi kazi kabisa (Jongoo hapandi mtungi) namfahamu
  na ni tukio ambalo nina ushahidi nalo (kama una tatizo hilo ni PM nikufahamishe anapatikana
  wapi huyo mama)

  Pia yuko Bw.Mdogo fulani kama miaka 20 au 24 hivi yeye alikuwa nafanya MASTURBATION
  Kwa muda mrefu matatizo aliyoyapata ni macho, pia nanihii ikarudi na kuwa ndogo sana pia
  ikawa haisimami kabisa. Akapelekwa Muhimbili ambako hakupata Tiba ya uhakika lakini
  Jamaa Akatafuta dawa ya asili ambayo ilichanganywa na asali. Dogo hali yake imerudi kawaida
  Namtafuta yule Jamaa nina uhakika ndani ya Wiki moja nitakuwa nimempata na kuileta hapa
  Jukwaani aina ya dawa aliyoitumia na alikoitoa.

  Haya wadau naomba michango yenu !
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Mkuu utakuwa umefanya jambo la mbolea sana,mie nimepiga punheta miala 7 kule Libya nina tatizo hili la kutokuwa na nguvu za kiume. Na log off
   
 3. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Tuwasubiri hapa watu wengine watuletee uzoefu wao!
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mzizi kaja na ID nyingine.
   
 5. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hili ni tatizo la kujitakia kabisa! Linatokana na kula vyakula vilivyochakachuliwa. Wale wazee wa zamani wanaweza kunisapoti.
  Vyakula kama ugali wa mtama, ulezi, mahindi yasiyokobolewa, pia ndizi, matunda asilia, mboga silia, asali n.k. huondoa tatizo hilo bila hata kutumia dawa.
   
 6. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Shikeni hapo kwenye Nyekundu nafikiri ndo ushauri wake!
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Nzowa hizo mboga mboga zinaliwa sana nafikiri lingekuwa jambo
  la busara ungeelekeza namna ya kupika pia, Huenda kuna aina fulani ya
  mapishi si nzuri!
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nzowa nakuona kama upo igamba pale. well, ushauri mzuri.kuanzia sasa ni dona tu na mayai ya kienyeji
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mzizi Mkavu hawezi kuwa na ID mbili ondosha wasiwasi huyo kama jina lake lilivyo anaitwa GAZETI siyo mziziMkavu huyo
   
 10. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Mkuu GAZETI, wewe binafsi umekiri kwamba hili tatizo ni kubwa katika Jamii sasa badala ya kuweka wazi huyo daktari unayemfahamu, unataka watu waku pm- mimi nadhani kwa faida ya wasomaji wa JF, members na wasio members ni bora ukaweka contact za huyo mama wazi kwa wote kuona, kumbuka wasomaji wa JF wasio members hawawezi kuku Pm, sasa je hao nao utawasaidia je?- weka info wazziwazi
   
 11. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu gazeti umeleta jambo la kheri ila kama mchangiaji alotangulia alivyosema we umekuwa wa kwanza kuibania mada.so please funguka kila kitu na hasa upande wa pili wa issue ya maumbile hili janga details na ushahidi please wachangiaji tunufaike.
   
 12. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Wakuu natafuta Contact za yule mama kwani mara ya mwisho nilionana naye
  mwaka 2000. Kama yuko hai nitazipata tu si tatizo kubwa. Na huyu wa pili ni
  Jambo la kuvuta subira tu after few days nitaweka wazi hapa jukwaani!
   
 13. K

  KALENDA Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kutokana na maelezo ya Bw. GAZETI nashindwa kumuelewa.
  Amesema mwenye kuhitaji contact za huyo mama anaweza kum-PM ili amuwezeshe kumpata, sasa tena imekuwa
  anatafuta contact na pia ametanguliza kuwa yawezekana amishafariki, Isipokuwa huyu wa pili hawezi kuwa amefariki hivyo
  anatuomba tuvute subira kwa few days.
  Tusubiri tuone kama hizo contact zitapatikana.
  Pia yafaa tujipange kabl ya kuanzisha thread zenye mvuto kama hii.
  Nawakilisha.
   
 14. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  hahah! duh, sasa watu wa ku"pm", wakati huna hizo contact na hujui kama huyo daktari yuko hai au marehemu!
   
 15. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna ndugu yangu anatatizo ilo so nimekupm.
   
 16. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Sina Contact kwa maana ya namba za simu lakini nafahamu wapi anakopatikana,
  sijui yuko hai au amekufani msemo wa kiimani zaidi kwani unaweza kuwa na
  uhakika wa 100% kuwa mtu yuko hai kwa kuwa mwezi uliopita ulipata habari
  zake kutoka kwa watu wa karibu ukasahau kuwa kifo ni siku moja tu! Pengine
  siku ya pili toka upate taarifa yeye akawa ameiaga dunia. By The way Yule wa mmoja
  nimeshapata taarifa zake Mungu akipenda ndani ya siku 4 nitakuwa nimefanya mawasiliano
  naye. Pia nimeeleza wazi kuwa wenye utaalamu zaidi watusaidie hapa mimi nimebanwa tu na
  mambo fulani lakini ndani ya siku 7 nitakuwa nimeleta angalau nusu ya kile nilichoahidi
  Mungu akipenda.

  Naomba tuaminiane wakuu!
   
 17. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Pia naomba wataalamu wa Tiba watupe ufafanuzi. Kutokana na watu walioni PM
  na niliyoyapata mtaani inaonyesha wazi kuwa Punyeto inaweza kusababisha matatizo
  makubwa ya Macho. Hilo halijazungumzwa lakini PUNYETO inasababisha matatizo
  ya macho tena makubwa sana. Tunaomba ufafanuzi kwa wataalamu wetu juu ya hilo!
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Nilikua nataka kumuambia. Mzizimkavu haji kuuliza maswali,anakuja kuleta suluhisho tu! This is namecalling and I am apologising on his behalf

   
 19. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tikiti maji a.k.a watermelon na mbegu zake. google medicinal properties of watermelon. hakuna changanya hiki mara kile au hiki robo kile theluthi!!!!
   
 20. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Hizo mbegu unakaanga au unatafuta zikiwa mbichi?
   
Loading...