Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,267
Miaka ya ujima watu walitumia herbs na remedies kutibu magonjwa. Tiba nyingine ilikuwa maombi kwa Mungu. St Raphael ndiye Malaika aliyetumika sana katika maombi ya uponyaji.
Kwa Wakatoliki St Anthony wa Padua alitumika kuleta miujiza katika maombi ya uponyaji.
Kuna rafiki yangu mmoja aligundulika na cancer ya kongosho ambayo huua kwa harakati sana. Alipopewa majibu alikwenda kwa Rabi yeye na Myahudi. Alipewa list ya vyakula vya kuacha kabisa. Alipewa herbal tea na aliambiwa iwe ndiyo maji yake na chai yake hivyo akiamka asubuhi aliichemsha ya kunywa siku nzima.
Alijikita kwenye maombivya nguvu na baada ya miezi mitatu cancer haikuonekana tena.