Mvumilivu Wangu, labda uneniambia ni yapi yanayokusumbua, lakini mimi niliyoona ni mengi lakini la kushangaza inaelekea kuna watu wanawaharibia ma Dr.wa TZ sifa,siamini kama Dr.au Med.Asst anaweza kufanya diagn. na kumueleza mgonjwa kuwa kooni una cancer kumbe kwenda kuangaliwa akakutwa ni fungus,lakini pia kuna magonjwa mengi ambayo yako related na cancer na pia hata surgery e.g brain and spine surgery,head and neck tumor surgery,achilia mbali vitu kama prostate and breast cancer.
Kwa kifupi pamoja na ujuzi lakini wana adv.ya wewe kupata nafasi ya kuchunguzwa kwa vifaa ambavyo sisi bado hatujavipata na kwa gharama nafuu e.g PET -CT scan na vinginevyo,kama kuna gonjwa nililolificha niulize nitakueleza,
All the best.
GD.